Tuchukue tahadhari sana Corona sasa ipo DRC congo!

Tuchukue tahadhari sana Corona sasa ipo DRC congo!

Dawa ni kuchukua familia mitungi miwili ya gesi,jiko,viberiti,gunia mbili za mchele na maharage,chumvi kg 50.Sukari kg 30,Mafuta ua kupikia Ndoo ndogo 1, Dawa za mbu ,malaria,Panadol,,Maji lita 200,Sabuni,Vyandarua,Tenti kama tatu hivi
Then mnakimbilia pembezoni mwa kijij fulani hivi porini tuliiii...unabeba na redio ya mkulima unasikilizia tu maambukizi mjini yanavyoendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani mkuu nimewaza hilo aisee tusiombee hilo bala liingie hapa
Dawa ni kuchukua familia mitungi miwili ya gesi,jiko,viberiti,gunia mbili za mchele na maharage,chumvi kg 50.Sukari kg 30,Mafuta ua kupikia Ndoo ndogo 1, Dawa za mbu ,malaria,Panadol,,Maji lita 200,Sabuni,Vyandarua,Tenti kama tatu hivi
Then mnakimbilia pembezoni mwa kijij fulani hivi porini tuliiii...unabeba na redio ya mkulima unasikilizia tu maambukizi mjini yanavyoendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari virusi vya corona vimesha pisha hodi nchi JIRANI ya Kongo ambayo nchi hiyo kwa kiasi kikubwa imepakana na mkoa wa Kigoma kwa upande wa Tanzania, hivyo wito wangu ni kuwa mkoa huo uchukue tahadhari ya kutosha kwani kuna maingiliano makubwa sana kati ya wananchi wa Kongo mpakani na Kigoma, hivyo Serikali ichukue tahadhari kwa kutoa elimu kwa wananchi jinsi ya kukikinga na kuzuia mikusanyiko ili kujikinga.

Ni jukumu la Wizara ya Afya pia taasisi zingine kuhakikisha tunajilinda na ugonjwa huu hatari sana.
 
NIMESHTUKA SANA KUONA HUU UGONJWA UKO CONGO

Kiukwelii n huzunii kubwaa maana pale na ugandaa n majiranisana

Ukifikaa Uganda na umefikaa kenyaa na t.....

Maombiyenu kwa nduguzetuu dah
 
Mbona ebola haikuja kwetu? Na imedumu miaka kibao congo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka ebola ilipewa tahadhari kubwa sana kwa yale maeneo yaliyoathirika

Hii corona mpaka ije kujulikana ni zaidi ya wiki mbili, kumbuka imeonekana Kinshasa.

Hii ikifika Lubumbashi, Kolwezi, Likasi basi tumekwisha kabisa maana tuna muingiliano mkubwa sana madereva wetu wa malori wanafika huko.

Pia kuna ujumbe niliusikia wa mkongo akisema kaona wachina wakimtupa mwenzao ikisemekana amefariki kwa corona.

Sasa kwa hali hii tuombe tu Mungu atuepushie hili janga kwa upande wetu liwe halituathiri kama inavyohisiwa.
 
Back
Top Bottom