Kwa kunywa au kupakaDawa ya huu ugonjwa ni konyagi!ukikosa K vant ina faa kabisa!!!
Dawa ni kuchukua familia mitungi miwili ya gesi,jiko,viberiti,gunia mbili za mchele na maharage,chumvi kg 50.Sukari kg 30,Mafuta ua kupikia Ndoo ndogo 1, Dawa za mbu ,malaria,Panadol,,Maji lita 200,Sabuni,Vyandarua,Tenti kama tatu hivi
Then mnakimbilia pembezoni mwa kijij fulani hivi porini tuliiii...unabeba na redio ya mkulima unasikilizia tu maambukizi mjini yanavyoendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
akijibu nitagi
Kumbuka ebola ilipewa tahadhari kubwa sana kwa yale maeneo yaliyoathirika