Tucopy na kupaste sample ya IGA ya UK (Muingereza) na UAE (Mwarabu) katika uwekezaji, japo ni ya mwaka 1992, lakini inafundisha uzalendo kwa nchi zao

HANGAYA THE CHIEF

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2021
Posts
330
Reaction score
962
Mheshimiwa Mkuu wa Morogoro Adam Malima ametuasa kwa upendo mkubwa sana kuwa katika suala la mikataba hawa waarabu ( jamaa ) sio wajomba zetu, binafsi nimesoma IGA ya ushirikiano katika uwekezaji kati ya UK na UAE, nimegundua waarabu wako serious wanapokutana na nchi zilizo serious na wanaheshima sana, na wana ujinga mwingi wakikutana na nchi zilizo na ujinga mwingi, ambazo haziko serious na rasilimali zao.

ukisoma IGA yao, japo ya zamani kila kitu kipo sawa na very simple. angalia capacity, ( nchi ndio zimeingia mkataba), tofauti ya JMT na Dubai (ukiuliza utaambiwa katiba yao inaruhusu kuingia mikataba ya kimataifa), time ya IGA kati UK na UAE ni miaka kumi ya kwetu (ya milele)au utaisha project zao zitakapoisha, viongozi waliosaiini upande JMT ni wakuu wa nchi, DUBAI ni Director wa bandari za dpw.

leo fikiria tangu mwaka 1992 miaka 30 baadae tunaingia mkataba wa kulitia taifa aibu kwenye rasilimali zetu wenyewe kwa kasi ya 5G.

nimeambatanisha nakala ya IGA hapo chini kwa rejea

Attachments

Mheshimiwa Mkuu wa Morogoro Adam Malima ametuasa kwa upendo mkubwa sana kuwa katika suala la mikataba hawa waarabu ( jamaa ) sio wajomba zetu, binafsi nimesoma IGA ya ushirikiano katika uwekezaji kati ya UK na UAE, nimegundua waarabu wako serious wanapokutana na nchi zilizo serious na wanaheshima sana, na wana ujinga mwingi wakikutana na nchi zilizo na ujinga mwingi, ambazo haziko serious na rasilimali zao[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshimiwa Mkuu wa Morogoro Adam Malima ametuasa kwa upendo mkubwa sana kuwa katika suala la mikataba hawa waarabu ( jamaa ) sio wajomba zetu, binafsi nimesoma IGA ya ushirikiano katika uwekezaji kati ya UK na UAE, nimegundua waarabu wako serious wanapokutana na nchi zilizo serious na wanaheshima sana, na wana ujinga mwingi wakikutana na nchi zilizo na ujinga mwingi, ambazo haziko serious na rasilimali zao.

ukisoma IGA yao, japo ya zamani kila kitu kipo sawa na very simple. angalia capacity, ( nchi ndio zimeingia mkataba), tofauti ya JMT na Dubai (ukiuliza utaambiwa katiba yao inaruhusu kuingia mikataba ya kimataifa), time ya IGA kati UK na UAE ni miaka kumi ya kwetu (ya milele)au utaisha project zao zitakapoisha, viongozi waliosaiini upande JMT ni wakuu wa nchi, DUBAI ni Director wa bandari za dpw.

leo fikiria tangu mwaka 1992 miaka 30 baadae tunaingia mkataba wa kulitia taifa aibu kwenye rasilimali zetu wenyewe kwa kasi ya 5G.

nimeambatanisha nakala ya IGA hapo chini kwa rejea

Yeye angependa mkataba uwe je? Kwani yeye haiko karibu na Raisi ili amshauri au anatafuta Kiki (cheap popularity) za kustafia tangu lini huyu awe mzalendo?
 
Wapo wanaosema kuwa uraisi ni taasisi lakini naamini taasisi yeyote ikiongozwa na mtu mwenye upeo/uelewa/elimu ndogo lazima kutakuwa na hitilafu.

Uimara wa kitu chochote ni uthabiti wa kiongozi wake.

Ifikie wakati tukiri kuwa kuna mtu kavalishwa viatu vikubwa kuliko miguu yake. Jinsi vinavyompwaya itafikia muda vitamkwaa na kumuangusha kabisa. Na ni afadhali aanguke mwenyewe kuliko kuangusha taifa lote.
 
Ile ni Bilateral Agreement
yaani nashidwa hata nianzie wapi kukuelekeza, ila mambo mengi naomba elewa tu na ya kwetu ni BIlateral (BiT), angalia inference ya capacity, dubai imepewa hadhi ya nchi, angalia umepelekwa bungeni kuridhiwa, (unakuwa sheria). yaani ni somo na mada nyingine, ila tambua ni bilateral.
 
Wapo wanaosema kuwa uraisi ni taasisi lakini naamini taasisi yeyote ikiongozwa na mtu mwenye upeo/uelewa/elimu ndogo lazima kutakuwa na hitilafu.

Uimara wa kitu chochote ni uthabiti wa kiongozi wake.

Ifikie wakati tukiri kuwa kuna mtu kavalishwa viatu vikubwa kuliko miguu yake. Jinsi vinavyompwaya itafikia muda vitamkwaa na kumuangusha kabisa. Na ni afadhali aanguke mwenyewe kuliko kuangusha taifa lote.
Intellectual arrogance inakusumbua lakini unaweza kujifunza zaidi ujue system za nchi zinavyowork. Nchi yetu ni infant yaani inaendelea kukua hivyo bado yapo mambo yanapaswa kubadilika taaratibu. Raisi sio minguvu ni office kuubwa yenye watu wa kila aina, lakini pia kuna Bunge na mahakama. Rais hawezi kuwa malaika ndio maana tunapewa uhuru wa kutoa maoni na sio dharua na ujuaji.
 
Hakuna tofauti yoyote na ya Tanzania.

Hiyo BIT ni general investments, whereas IGA is specific; lakini articles ni zile zile kwenye utekelezaji.

BIT ina miaka 10 but then mikataba itakayoingiwa ndani ya muda husika sheria hiyo hiyo itatumika kwa miaka 20 tangu kuisha kwake.

Mikataba itakayoendelea baada ya miaka 20 international laws itatumika.

Ni hivi:

Kusipokuwa na ratification ya treaties cha msingi ni sehemu ya usuluhishi. Lakini kwenye terms na clauses ata bila ya treaties utakuta mambo yale yale ambayo yapo kwenye treaties kama unatumia wanasheria makini.

Ata bila ya treaties mikataba inaisha kwa namna tatu:
(i) Shughuli za mkataba zinapoisha (performance).
(ii) a frustrating event
(iii) a breach of condition (if the victim chooses to do so).

Mambo hayo hayo yapo kwenye IGA ukisoma yameandikwa kivingine tu specifically kwa mradi husika.

Hiyo IGA aina shida yoyote, tatizo ni uwezo wa wanasheria wa Tanzania tu. If anything huu mjadala wa IGA una expose our limitations kwenye maswala ya mikataba ya kibiashara.
 
Jaribu kutofautisha mahaba binafsi kwa mtu na uhalisia wa mambo. Unachotetea hapa ni mahaba yako kwa kiongozi.

Nyingi ya nchi za dunia ya tatu, ya kwetu ikiwemo nguvu ya raisi kiuhalisia inaweza ku by pass mihimili mingine yote japo kimaandishi tunaaminishwa mihimili haiingiliwi.

Kuhusu maoni, watanzania walipewa nafasi gani kutoa maoni kuhusiana na swala la bandari?? Mbali ya watu kupinga none stop lakini nguvu kubwa imetumika na bado inatumika kuaminisha watu kuwa tupo njia sahihi.

Kurudi kwenye point yangu, sijaongelea uduni wa elimu/upeo/uelewa kama dhihaka ama dharau. Nimeongelea hivyo kwa kuakisi uhalisia uliopo.

Sifa moja ya kiongozi ni kuweza kutetea hoja zake na maamuzi yake kwa kutumia facts na sio nadharia za fairy tales.
Mpaka leo hii zaidi ya propaganda za kutumia kila aina ya watu wenye ushawishi kusifia ubinafsishwaji hakuna factual refutal ya concerns zote za watu kuhusiana na mkataba hasa swala la ukomo wake.

Tukubali tukatae kwenye bandari udhaifu wa uongozi umetutia shimoni.
 
mkuu acha kutudanganya watu, and if your serious ya tujenge nchi yetu kwa taaluma zetu, lets works for that, kama kweli uko serious katika kulisaidia taifa, katika sheria za uwekezaji, protection ya investors ndio kitu cha msingi, kwa sababu kubwa hakuna international investment law common to all and binding to all na purpose ya hicho unachokiita IGA ni protection ya investors, and essentially its BiT, na kulijua hilo ndio maana imekwenda bungeni kucement kuwa ni BIT.

usisumbuke na terminologies za tittle angalia essence yake. and have the same effects when comes to international law and its operation shall be operative with such effects.
Hakuna tofauti yoyote na ya Tanzania.

Hiyo BIT ni general investments, whereas IGA is specific; lakini articles ni zile zile kwenye utekelezaji.

BIT ina miaka 10 but then mikataba itakayoingiwa ndani ya muda husika sheria hiyo hiyo itatumika kwa miaka 20 tangu kuisha kwake.

Mikataba itakayoendelea baada ya miaka 20 international laws itatumika.

Ni hivi:

Kusipokuwa na ratification ya treaties cha msingi ni sehemu ya usuluhishi. Lakini kwenye terms na clauses ata bila ya treaties utakuta mambo yale yale ambayo yapo kwenye treaties kama unatumia wanasheria makini.

Ata bila ya treaties mikataba inaisha kwa namna tatu:
(i) Shughuli za mkataba zinapoisha (performance).
(ii) a frustrating event
(iii) a breach of condition (if the victim chooses to do so).

Mambo hayo hayo yapo kwenye IGA ukisoma yameandikwa kivingine tu specifically kwa mradi husika.

Hiyo IGA aina shida yoyote, tatizo ni uwezo wa wanasheria wa Tanzania tu. If anything huu mjadala wa IGA una expose our limitations kwenye maswala ya mikataba ya kibiashara.
mkuu acha kutudanganya watu, and if your serious na unataka tujenge nchi yetu kwa taaluma zetu, lets works for that, kama kweli uko serious katika kulisaidia taifa na kama we wish to fulfill interest za politician mie siko huko, fanya research njoo na majibu, vitu hivi vinasomeka na vinawezekana.

kiufupi katika sheria za uwekezaji, protection ya investors ndio kitu cha msingi kabla mwekezaji hasa mkubwa hajaamua kuwekeza mtaji wake katika nchi husika, why ptotection, sababu kubwa hakuna international investment law common to all nations, and binding to all, ndio maana nchi zimeamua kurejea kwenye mikataba binafsi ili kuprotect the interest of host government and investors,

na purpose ya hicho unachokiita IGA ni protection ya investors, and essentially its BiT, na kulijua hilo ndio maana imekwenda bungeni kuridhiwa kifupi ni BIT. (bilateral investment agreement), ni mkataba wa kimataifa wa uwekezaji kati ya dubai na tanzania mkuu.

usisumbuke na terminologies za tittle angalia essence yake. and have the same effects when comes to international law and its operation shall be operative with such effects.
 
mkuu acha kutudanganya watu, and if your serious ya tujenge nchi yetu kwa taaluma zetu, lets works for that, kama kweli uko serious katika kulisaidia taifa, katika sheria za uwekezaji, protection ya investors ndio kitu cha msingi, kwa sababu kubwa hakuna international investment law common to all and binding to all na purpose ya hicho unachokiita IGA ni protection ya investors, and essentially its BiT, na kulijua hilo ndio maana imekwenda bungeni kucement kuwa ni BIT.

usisumbuke na terminologies za tittle angalia essence yake. and have the same effects when comes to international law and its operation shall be operative with such effects.

mkuu acha kutudanganya watu, and if your serious na unataka tujenge nchi yetu kwa taaluma zetu, lets works for that, kama kweli uko serious katika kulisaidia taifa na kama we wish to fulfill interest za politician mie siko huko, fanya research njoo na majibu, vitu hivi vinasomeka na vinawezekana.

kiufupi katika sheria za uwekezaji, protection ya investors ndio kitu cha msingi kabla mwekezaji hasa mkubwa hajaamua kuwekeza mtaji wake katika nchi husika, why ptotection, sababu kubwa hakuna international investment law common to all nations, and binding to all, ndio maana nchi zimeamua kurejea kwenye mikataba binafsi ili kuprotect the interest of host government and investors,

na purpose ya hicho unachokiita IGA ni protection ya investors, and essentially its BiT, na kulijua hilo ndio maana imekwenda bungeni kuridhiwa kifupi ni BIT. (bilateral investment agreement), ni mkataba wa kimataifa wa uwekezaji kati ya dubai na tanzania mkuu.

usisumbuke na terminologies za tittle angalia essence yake. and have the same effects when comes to international law and its operation shall be operative with such effects.

Kama hakuna governing international investment law ya treaties hiyo ni nini ☝️

Basically msingi na taratibu wa kuandaa treaties zote ni hiyo ‘Vienna Convention on Law of Treaties (VCLT 1969).

Kila kitu unachoona kwenye treaties 80% ya articles zimetokea humo kwenye VCLT.

Mikataba ambayo aijangiwa bado (hiyo ya utekelezaji) kama concession agreement na yenyewe inakuja na rules/condition nyingine za consideration.

Mimi nimekueleza tu hakuna tofauti kubwa kati ya hiyo BIT ya U.K. na IGA ya Tanzania on implied terms mentioned; isipokuwa one is general and the other is specific.

Huo muda wa miaka 10 ni kwa sababu ya BIT. Lakini wamekwambia mikataba ya kibiashara itakayofanywa ndani ya muda huo rules zake za kuisha ni nyingine si chini ya miaka 20. Hayo wamekueleza hapo hapo uliposoma huo mkataba ni wa miaka 10.
 
Mheshimiwa Mkuu wa Morogoro Adam Malima ametuasa kwa upendo mkubwa sana kuwa katika suala la mikataba hawa waarabu ( jamaa ) sio wajomba zetu, binafsi nimesoma IGA ya ushirikiano katika uwekezaji kati ya UK na UAE, nimegundua waarabu wako serious wanapokutana na nchi zilizo serious na wanaheshima sana, na wana ujinga mwingi wakikutana na nchi zilizo na ujinga mwingi, ambazo haziko serious na rasilimali zao.

ukisoma IGA yao, japo ya zamani kila kitu kipo sawa na very simple. angalia capacity, ( nchi ndio zimeingia mkataba), tofauti ya JMT na Dubai (ukiuliza utaambiwa katiba yao inaruhusu kuingia mikataba ya kimataifa), time ya IGA kati UK na UAE ni miaka kumi ya kwetu (ya milele)au utaisha project zao zitakapoisha, viongozi waliosaiini upande JMT ni wakuu wa nchi, DUBAI ni Director wa bandari za dpw.

leo fikiria tangu mwaka 1992 miaka 30 baadae tunaingia mkataba wa kulitia taifa aibu kwenye rasilimali zetu wenyewe kwa kasi ya 5G.

nimeambatanisha nakala ya IGA hapo chini kwa rejea

Sijaona sijinature ya mtukufu Malkia Elizabeth hapo we mwongp.
 
Yeye angependa mkataba uwe je? Kwani yeye haiko karibu na Raisi ili amshauri au anatafuta Kiki (cheap popularity) za kustafia tangu lini huyu awe mzalendo?

Tatizo si kumshauri, atauchukua huo ushauri?
 
Hivi serikali ya Tanzania chini ya chama cha mapinduzi unaona ipo serious kiasi gani kwenye majukumu yake ya msingi?
 
Kama hakuna governing international investment law ya treaties hiyo ni nini ☝️

Basically msingi na taratibu wa kuandaa treaties zote ni hiyo ‘Vienna Convention on Law of Treaties (VCLT 1969).

Kila kitu unachoona kwenye treaties 80% ya articles zimetokea humo kwenye VCLT.

Mikataba ambayo aijangiwa bado (hiyo ya utekelezaji) kama concession agreement na yenyewe inakuja na rules/condition nyingine za consideration.

Mimi nimekueleza tu hakuna tofauti kubwa kati ya hiyo BIT ya U.K. na IGA ya Tanzania on implied terms mentioned; isipokuwa one is general and the other is specific.

Huo muda wa miaka 10 ni kwa sababu ya BIT. Lakini wamekwambia mikataba ya kibiashara itakayofanywa ndani ya muda huo rules zake za kuisha ni nyingine si chini ya miaka 20. Hayo wamekueleza hapo hapo uliposoma huo mkataba ni wa miaka 10.
mkuu narudia, mie ni mtanzania sina chama, natumia uelewa wangu wa kujaribu kusaidia taifa, najua hapa kuna watu wengi wanasoma, na pengine wanaweza kujifunza na tukatembea pamoja kama taifa, mimi na wewe tayari tuna maisha angalia vizazi zijavyo vinategemea rasilimali hizi hizi.

ulicho nipa nirejee ni sheria za mikataba ya kimataifa, sheria hizi ni mwongozi wa kutambua uhalali wa mikataba ya nchi na nchi. au wa nchi mbalimbli. tuna bilateral treaties na multilateral treaties lakini mikataba hii ikiwekwa kwa maana ya uwekezaji, ndio inaitwa bilateral investment treaties, au multilateral investment laws. ( unaitaji uwelewa wa sheria kujua hizi pia)

kwa hiyo huwezi kutumia vienna convention ya mwaka 1969 kuinstitute case yako eti nchi imebreach kwenye uwekezaji, hizo ni sheria za miongozo ya kutambua mkataba halali, ndio maana tunarejea, kuwa nchi haina capacity, instruments, validity, na vingine unavikuta huko. sio sheria specific

my concern is that, na narudia tena kuwa hatuna sheria za investment za kimataifa common to all countries, au best put, hatuna multilateral investment laws common to all binding to all nations, kama internation criminal laws, na nyingine nyingi

hivyo nchi zimepewa uhuru wa kuingia mikataba yaani bilateral investment. hicho ulichonitumia nirejee ni kama law of contract ya tanzania, mkuu. sawa
 
Back
Top Bottom