HANGAYA THE CHIEF
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 330
- 962
Mheshimiwa Mkuu wa Morogoro Adam Malima ametuasa kwa upendo mkubwa sana kuwa katika suala la mikataba hawa waarabu ( jamaa ) sio wajomba zetu, binafsi nimesoma IGA ya ushirikiano katika uwekezaji kati ya UK na UAE, nimegundua waarabu wako serious wanapokutana na nchi zilizo serious na wanaheshima sana, na wana ujinga mwingi wakikutana na nchi zilizo na ujinga mwingi, ambazo haziko serious na rasilimali zao.
ukisoma IGA yao, japo ya zamani kila kitu kipo sawa na very simple. angalia capacity, ( nchi ndio zimeingia mkataba), tofauti ya JMT na Dubai (ukiuliza utaambiwa katiba yao inaruhusu kuingia mikataba ya kimataifa), time ya IGA kati UK na UAE ni miaka kumi ya kwetu (ya milele)au utaisha project zao zitakapoisha, viongozi waliosaiini upande JMT ni wakuu wa nchi, DUBAI ni Director wa bandari za dpw.
leo fikiria tangu mwaka 1992 miaka 30 baadae tunaingia mkataba wa kulitia taifa aibu kwenye rasilimali zetu wenyewe kwa kasi ya 5G.
nimeambatanisha nakala ya IGA hapo chini kwa rejea
leo fikiria tangu mwaka 1992 miaka 30 baadae tunaingia mkataba wa kulitia taifa aibu kwenye rasilimali zetu wenyewe kwa kasi ya 5G.
nimeambatanisha nakala ya IGA hapo chini kwa rejea