Tucopy na kupaste sample ya IGA ya UK (Muingereza) na UAE (Mwarabu) katika uwekezaji, japo ni ya mwaka 1992, lakini inafundisha uzalendo kwa nchi zao


Unayemuita rafiki yenu ndiye dpworld mwenyewe na ndiye aliyechukuwa bandari zote na lengo ni kusafirishia mali zinazoporwa Kongo, kuna connection kubwa kati ya vita ya Kongo, mali za Kongo na Bandari zetu. Ni uhusiano kati ya ng’ombe na mwenye bucha, nyie ng’ombe unayemuita rafiki yenu ni mchinjaji mwenye bucha …
 
Yeye angependa mkataba uwe je? Kwani yeye haiko karibu na Raisi ili amshauri au anatafuta Kiki (cheap popularity) za kustafia tangu lini huyu awe mzalendo?
Kwa hiyo Samia ndo SI Unit ya Uzalendo wa nchi hii? Yeyote atakayetoa maoni kinyume cha maamuzi ya Samia siyo Mzalendo? Sijui mmerogwa na kigagula gani!!
 
Kwa hiyo Samia ndo SI Unit ya Uzalendo wa nchi hii? Yeyote atakayetoa maoni kinyume cha maamuzi ya Samia siyo Mzalendo? Sijui mmerogwa na kigagula gani!!
Yale maamuzi ni ya bunge na chama tawala sio ya Raisi peke yake, hiyu ni kaada wa CCM kwanini asipingie huko huko chamani.
 
Yale maamuzi ni ya bunge na chama tawala sio ya Raisi peke yake, hiyu ni ka aada wa CCM kwanini asipingie huko huko chamani.
umesahau katiba ya ccm na zidumu fikra za mwenyekiti, mwenyekiti kasaini yeye kama mserikali, na yeye ndio mwenyekiti wa kikao hicho hicho kinachoenda kujadili upuuzi aliousaini yeye, walau angetaka kuwa fair, na kuondoa conflict of interest ambazo anazo angewaacha neutral persons wajadili na kulitolea maamuzi.

unadhani nani atampinga? huoni wenye akili CCM hawaongei?,
 
What constitutes a valid agreement?


A valid agreement may be defined as an agreement that, if enforceable by law, shall become a contract and make the parties to the agreement binding to the conditions thereof. An agreement is defined under Section 2(e) of the Indian Contract Act, 1872


International Institute for Sustainable Development
https://www.iisd.org › 2018/10/18

Biwater v. Tanzania – Investment Treaty News


18 Oct 2018 — [4] Tanzania objected that even if the Claimant's activities qualified as an investment under the governing BIT, which defined investments
 
Kuna mtu ameitwa polisi kuhojiwa, huo uhuru unaosema ulikuwa unamaanisha nn? Angalia yaliyomkuta Job
 
Naunga mkono hoja

Nimekuelewa sana, mkuu wa nchi kutumia watu aina ya ZEMBWELA au Baba levo kwenye suala kubwa namna hii kumsemea kwa niaba yake, lazima tuwe na shaka nae na hiyo so called taasisi.

Angechutama tu, haiwezekani wenzetu kasaini CEO ila kwetu mkuu wa kaya
 
Kwanini kulikuwa na uharaka kuupitisha bungeni bila kuwa na proper debate?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…