Tucopy na kupaste sample ya IGA ya UK (Muingereza) na UAE (Mwarabu) katika uwekezaji, japo ni ya mwaka 1992, lakini inafundisha uzalendo kwa nchi zao

Tucopy na kupaste sample ya IGA ya UK (Muingereza) na UAE (Mwarabu) katika uwekezaji, japo ni ya mwaka 1992, lakini inafundisha uzalendo kwa nchi zao

Yaani walishindwa kuipata hata ya kule kwa rafiki yetu wa Rwanda, Mh. Kagame? Au wanazo ila wametuficha ili tusiweze kulinganisha na hii ya kwetu. Inasikitisha sana. Jee kuna wengine ambao wanaweza kuzipata watuletee hapa? Mtandao wa watu kama Dr Slaa wajaribu kuzitafuta. Hii inaweza saidia kumaliza sakata hili kiustarabu by research.

Unayemuita rafiki yenu ndiye dpworld mwenyewe na ndiye aliyechukuwa bandari zote na lengo ni kusafirishia mali zinazoporwa Kongo, kuna connection kubwa kati ya vita ya Kongo, mali za Kongo na Bandari zetu. Ni uhusiano kati ya ng’ombe na mwenye bucha, nyie ng’ombe unayemuita rafiki yenu ni mchinjaji mwenye bucha …
 
Yeye angependa mkataba uwe je? Kwani yeye haiko karibu na Raisi ili amshauri au anatafuta Kiki (cheap popularity) za kustafia tangu lini huyu awe mzalendo?
Kwa hiyo Samia ndo SI Unit ya Uzalendo wa nchi hii? Yeyote atakayetoa maoni kinyume cha maamuzi ya Samia siyo Mzalendo? Sijui mmerogwa na kigagula gani!!
 
Kwa hiyo Samia ndo SI Unit ya Uzalendo wa nchi hii? Yeyote atakayetoa maoni kinyume cha maamuzi ya Samia siyo Mzalendo? Sijui mmerogwa na kigagula gani!!
Yale maamuzi ni ya bunge na chama tawala sio ya Raisi peke yake, hiyu ni kaada wa CCM kwanini asipingie huko huko chamani.
 
Yale maamuzi ni ya bunge na chama tawala sio ya Raisi peke yake, hiyu ni ka aada wa CCM kwanini asipingie huko huko chamani.
umesahau katiba ya ccm na zidumu fikra za mwenyekiti, mwenyekiti kasaini yeye kama mserikali, na yeye ndio mwenyekiti wa kikao hicho hicho kinachoenda kujadili upuuzi aliousaini yeye, walau angetaka kuwa fair, na kuondoa conflict of interest ambazo anazo angewaacha neutral persons wajadili na kulitolea maamuzi.

unadhani nani atampinga? huoni wenye akili CCM hawaongei?,
 
MoU zitakuwa zinahusu specific project most likely.

IGA ni makubaliano ya kuanza majadiliano ya kurasimisha hiyo mikataba.

Hayo ni mawazo yangu kwa sababu serikali aijaelezea hizo MoU. Ata IGA inaweza kuwa na MoU yake but it means nothing kama isingefikia hatua ilipo leo.
What constitutes a valid agreement?


A valid agreement may be defined as an agreement that, if enforceable by law, shall become a contract and make the parties to the agreement binding to the conditions thereof. An agreement is defined under Section 2(e) of the Indian Contract Act, 1872


International Institute for Sustainable Development
https://www.iisd.org › 2018/10/18

Biwater v. Tanzania – Investment Treaty News


18 Oct 2018 — [4] Tanzania objected that even if the Claimant's activities qualified as an investment under the governing BIT, which defined investments
 
Intellectual arrogance inakusumbua lakini unaweza kujifunza zaidi ujue system za nchi zinavyowork. Nchi yetu ni infant yaani inaendelea kukua hivyo bado yapo mambo yanapaswa kubadilika taaratibu. Raisi sio minguvu ni office kuubwa yenye watu wa kila aina, lakini pia kuna Bunge na mahakama. Rais hawezi kuwa malaika ndio maana tunapewa uhuru wa kutoa maoni na sio dharua na ujuaji.
Kuna mtu ameitwa polisi kuhojiwa, huo uhuru unaosema ulikuwa unamaanisha nn? Angalia yaliyomkuta Job
 
Jaribu kutofautisha mahaba binafsi kwa mtu na uhalisia wa mambo. Unachotetea hapa ni mahaba yako kwa kiongozi.

Nyingi ya nchi za dunia ya tatu, ya kwetu ikiwemo nguvu ya raisi kiuhalisia inaweza ku by pass mihimili mingine yote japo kimaandishi tunaaminishwa mihimili haiingiliwi.

Kuhusu maoni, watanzania walipewa nafasi gani kutoa maoni kuhusiana na swala la bandari?? Mbali ya watu kupinga none stop lakini nguvu kubwa imetumika na bado inatumika kuaminisha watu kuwa tupo njia sahihi.

Kurudi kwenye point yangu, sijaongelea uduni wa elimu/upeo/uelewa kama dhihaka ama dharau. Nimeongelea hivyo kwa kuakisi uhalisia uliopo.

Sifa moja ya kiongozi ni kuweza kutetea hoja zake na maamuzi yake kwa kutumia facts na sio nadharia za fairy tales.
Mpaka leo hii zaidi ya propaganda za kutumia kila aina ya watu wenye ushawishi kusifia ubinafsishwaji hakuna factual refutal ya concerns zote za watu kuhusiana na mkataba hasa swala la ukomo wake.

Tukubali tukatae kwenye bandari udhaifu wa uongozi umetutia shimoni.
Naunga mkono hoja

Nimekuelewa sana, mkuu wa nchi kutumia watu aina ya ZEMBWELA au Baba levo kwenye suala kubwa namna hii kumsemea kwa niaba yake, lazima tuwe na shaka nae na hiyo so called taasisi.

Angechutama tu, haiwezekani wenzetu kasaini CEO ila kwetu mkuu wa kaya
 
Naunga mkono hoja

Nimekuelewa sana, mkuu wa nchi kutumia watu aina ya ZEMBWELA au Baba levo kwenye suala kubwa namna hii kumsemea kwa niaba yake, lazima tuwe na shaka nae na hiyo so called taasisi.

Angechutama tu, haiwezekani wenzetu kasaini CEO ila kwetu mkuu wa kaya
Kwanini kulikuwa na uharaka kuupitisha bungeni bila kuwa na proper debate?
 
Back
Top Bottom