sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Baada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive.
Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo.
Kama wale wanaojiita wakristo wanavyoamini, hata muislam nae pia anaimani yake juu ya Kristo kwa mapokeo yake.
Ni jambo la aibu kwa watu wanaojinasibisha kua wasomi kuogopa mdahalo na maneno kibao.
Wengine mnasambaza chuki tu ila hata hamkumbuki mara ya mwisho kufungua bible ni lini, kanisani hamuendi ila linapokuja suala la waislam mnajifanya km ndio Petro mwenyewe.
Acheni hivyo, chukihaifai. Mdahalo si kosa, kibaya ni kukachifu.