Tuelewane: Hakuna mwenye hati miliki ya Yesu Kristo

Wengine mnasambaza chuki tu ila hata hamkumbuki mara ya mwisho kudungua bible ni lini, kanisani hamuendi ila linapokuja suala la waislam mnajifanya km ndio Petro mwenyewe. Acheni hivyo, chukihaifai. Mdahalo si kosa, kibaya ni kukachifu.
Sawa
 
Kwenye Uisilamu huruhusiwi kumsema vibaya mtume yoyote, just fanya research uzi huu huu usiende mbali, umeona comment hata moja ya muisilamu kumsema Yesu? Hakuna je kuna Comment ngapi kumsema mtume na Uisilamu? Karibia nusu ya comment. Huo ndo utofauti Wa uisilamu na Ukristo na pia ndio maana Ukristo kila siku unapungua na kupitwa na Uisilamu, siku hizi mmekaa vijembe na maneno matusi ambayo hakuna Critical thinker yoyote yule ambaye anaweza akakaa aka discuss.
ni kweli mmekuwa kimya sana ila wapo wahuni wenu huwa hawaachi kukashifu ukristo.
 
Baada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive.

Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo.

Kama wale wanaojiita wakristo wanavyoamini, hata muislam nae pia anaimani yake juu ya Kristo kwa mapokeo yake.

Ni jambo la aibu kwa watu wanaojinasibisha kua wasomi kuogopa mdahalo na maneno kibao.

Wengine mnasambaza chuki tu ila hata hamkumbuki mara ya mwisho kudungua bible ni lini, kanisani hamuendi ila linapokuja suala la waislam mnajifanya km ndio Petro mwenyewe.

Acheni hivyo, chukihaifai. Mdahalo si kosa, kibaya ni kukachifu.
Mbona mkiambiwa Muddy SAW alikuwa mfilaji na mbakaji vitoto mnatokwa kamasi? Tuvumiliane tuu
 
Nyie mna hati ya kummiliki muhammad , maana watu hata wakichora picha tu mnataka kumtoa kichwa
 
Baada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive.

Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo.

Kama wale wanaojiita wakristo wanavyoamini, hata muislam nae pia anaimani yake juu ya Kristo kwa mapokeo yake.

Ni jambo la aibu kwa watu wanaojinasibisha kua wasomi kuogopa mdahalo na maneno kibao.

Wengine mnasambaza chuki tu ila hata hamkumbuki mara ya mwisho kudungua bible ni lini, kanisani hamuendi ila linapokuja suala la waislam mnajifanya km ndio Petro mwenyewe.

Acheni hivyo, chukihaifai. Mdahalo si kosa, kibaya ni kukachifu.
Si mbona tulishahitimisha hayo mambo muda sana! nyie mko nyuma sana! Baki na hemed wenu nasi mtuachie yesu wetu au mnamtaka yesu awe wenu!?
 
Ni mihemuko ya ujinga...wengi hawana knowledge ya dini...
Wanapenda yale yanayofurahisha nyoyo zao lakini hamna kitu..
Rudini darasani..msome Bible,+ Quran.. Someni history kwa umakini..., fanyeni Tafakari kwa kina ukiwa umetulia mwenyewe bila akili ya kushikiwa na mjanja- mjanja- ..pengine ndani ya joho or kanzu...
Ukiweza hivyo utakuwa ni mtu usiye na kejeli + jazba....utagundua mengi ukae zako kimya jinsi ulivyotumika
 
Baada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive.

Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo.

Kama wale wanaojiita wakristo wanavyoamini, hata muislam nae pia anaimani yake juu ya Kristo kwa mapokeo yake.

Ni jambo la aibu kwa watu wanaojinasibisha kua wasomi kuogopa mdahalo na maneno kibao.

Wengine mnasambaza chuki tu ila hata hamkumbuki mara ya mwisho kudungua bible ni lini, kanisani hamuendi ila linapokuja suala la waislam mnajifanya km ndio Petro mwenyewe.

Acheni hivyo, chukihaifai. Mdahalo si kosa, kibaya ni kukachifu.
Ukristo ni AMANI, upendo na ndugu kwani ni dini ya kweli. Kwa wapagani wote na waabudu mashetani mnakaribishwa kuingia katika Imani ya kweli. Ndiyo maana wasiokuwa na dini ya kweli wao huangaika kuandaa matamasha na makongamano huku wakitumia Jina la YESU.
 
Baada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive.

Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo.

Kama wale wanaojiita wakristo wanavyoamini, hata muislam nae pia anaimani yake juu ya Kristo kwa mapokeo yake.

Ni jambo la aibu kwa watu wanaojinasibisha kua wasomi kuogopa mdahalo na maneno kibao.

Wengine mnasambaza chuki tu ila hata hamkumbuki mara ya mwisho kudungua bible ni lini, kanisani hamuendi ila linapokuja suala la waislam mnajifanya km ndio Petro mwenyewe.

Acheni hivyo, chukihaifai. Mdahalo si kosa, kibaya ni kukachifu.
Mwenye hati miliki na Yesu ni wafuasi wake yaani wakristo.Ee YESU waonyeshe iliyo kweli wanaopotea kwa imani za giza. Wanao eneza chuki pia uwasamehe kwani wamepotea kwa hizo imani zao na hawajui wanalofanya. Mapepo wanayo fuga yamenyonya uelewa wao uwasamehe na uwape ufahamu.
 
Katika kitabu kitakatifu cha waislam Quran kimemzungumzia nabii mmoja anaeitwa Issa,,,na maelezo ya nabii huyu yanafanana sana na Yesu aliyetajwa katika biblia...

Hivyo basi kama Yesu ametajwa katika Quran,,,waislama wanayo haki ya kufanya mdahalo juu ya hawa manabii wawili ilimradi wasizungumze chochote kumhusu Yesu kwa kutumia Biblia.
 
Kwa mtazamo wako huo, pia hakuna mwenye hatimiliki/hakimiliki ya muhammad, atachorwa vikatuni, atasemwa at the way mtu alivyopokea na waislam wakae kimya wasipandwe na jazba kisa mtume wao anachambuliwa kama karanga kuhusu utumd wake ni wa Mungu au ni abrakadabra tu
Ni sawa tu mchambue utakavyo mhimu tu jiepushe kukashifu.
 
We ndo kilaza unaeongozwa na chuki, mada inasema “jesus&muhammad” ila kwakua unaungozwa na chuki na huenda hata hukuona tangazo lenyewe, unasema Vs,

Kuna tofauti kati ya vs na and. Wasomi uchwara nyie
Hata huko alipotoka naona wanaongozwa na chuki.....tena Bangladesh waislamu wenzie
Screenshot_20241230-125416_Chrome.jpg
Screenshot_20241230-125452_Chrome.jpg
Screenshot_20241230-125511_Chrome.jpg
 
We ndo kilaza unaeongozwa na chuki, mada inasema “jesus&muhammad” ila kwakua unaungozwa na chuki na huenda hata hukuona tangazo lenyewe, unasema Vs,

Kuna tofauti kati ya vs na and. Wasomi uchwara nyie

Watakuwa wamebadilisha bro. Mwanzoni ilikuwa Jesus vs Mohammad
 
subir wangalatia wa mchongo waje kukutusi apa ila umewapasua vya kutosha 😁
 
Watakuwa wamebadilisha bro. Mwanzoni ilikuwa Jesus vs Mohammad
Acheni kulazimisha mambo kuwa kwenye tafsiri mnao itaka nyinyi.
Waisilam hawawezi kumshindanisha yesu na Muhammad kwa sababu kwa mujibu wa iman yao wapo kwenye daraja moja.
Na katika uislam ukimkataa nabii mmoja basi unakuwa ume wakataa wote kwa sababu manabii wote wameletwa kwa kazi moja.
 
Back
Top Bottom