ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Hawaendi kuwashindanisha bali watafanya muhadhara unao ongelea mafundisho ya manabii hao kwa mujibu wa maandiko ya Qruan.unajua maana ya Vs?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawaendi kuwashindanisha bali watafanya muhadhara unao ongelea mafundisho ya manabii hao kwa mujibu wa maandiko ya Qruan.unajua maana ya Vs?
Ni haki yako kuamini hivyo maana hata waisilam wanamuona mtume wenu paulo kama tapeli aliye kuja kuanzisha ukristo na kupotosha mafundisho Yesu mnao dai kumfuata.Kwenye Ukristo , Muhammad ni tapeli tu kama kina mwamposa ,unataka wakristo wamseme vzr iweje wakati ni mpotoshaji tu
ingekua unaakili usingeopa mdaaro, subiri usikie hoja acha maneno manenoMwenye hati miliki na Yesu ni wafuasi wake yaani wakristo.Ee YESU waonyeshe iliyo kweli wanaopotea kwa imani za giza. Wanao eneza chuki pia uwasamehe kwani wamepotea kwa hizo imani zao na hawajui wanalofanya. Mapepo wanayo fuga yamenyonya uelewa wao uwasamehe na uwape ufahamu.
Waislamu hawamuamini Kristo wewe acha porojo weweBaada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive.
Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo.
Kama wale wanaojiita wakristo wanavyoamini, hata muislam nae pia anaimani yake juu ya Kristo kwa mapokeo yake.
Ni jambo la aibu kwa watu wanaojinasibisha kua wasomi kuogopa mdahalo na maneno kibao.
Wengine mnasambaza chuki tu ila hata hamkumbuki mara ya mwisho kufungua bible ni lini, kanisani hamuendi ila linapokuja suala la waislam mnajifanya km ndio Petro mwenyewe.
Acheni hivyo, chukihaifai. Mdahalo si kosa, kibaya ni kukachifu.
Jambo usilolijua ni kua hata waislam wanamsubiri Yesu Kristo, sema kwakua huna elimu yoyote zaidi ya chuki. baki na ujinga wako.Waislamu hawamuamini Kristo wewe achs porojo wewe
Wao wanamuamini Nabiii Issa huyo ndio wao .Na wana hatimiliki naye .
Kristo ni wetu sisi wakristo aliyezak8wa ,kufa na kufufuka huyo kwao nabii Issa alizak8wa ,akafa na hakufufuka aliozea kaburini huyo ndio wao wakiye na hatimiliki naye huyo marehemu Nabii Issa.Wa kwetu Kristo yuko hai sio marehemu sababu alifufuka .Huyo Kristo mfufuka sisi wakristo tuna hati miliki naye wao waendelee naye huyo Marehrmu issa bin Mariam
Wanasubiri Yesu Kristo wapi wewe ? Wakati Ukristo wenyewe hawaamini ndio wamuamini Kristo?Jambo usilolijua ni kua hata waislam wanamsubiri Yesu Kristo, sema kwakua huna elimu yoyote zaidi ya chuki. baki na ujinga wako.
Haiondoi ukweli , Muhammad ni tapeli ndio maana wakristo huwezi kukuta wanahangaika nae au kujipendekezaNi haki yako kuamini hivyo maana hata waisilam wanamuona mtume wenu paulo kama tapeli aliye kuja kuanzisha ukristo na kupotosha mafundisho Yesu mnao dai kumfuata.
Yesu hajui dini inayo itwa ukristo na wala hakuwahi kuanzisha dini inayo itwa ukristo, ukristo ulikuja kuhasisiwa na Paulo sasa nawashangaa mnavyo jipendekeza kwa Yesu.
Paulo ndo alikuja kuwaambia kuwa Yesu ni Mungu hali ya kuwa Yesu hajawahi kusema yeye n Mungu.
Paulo ndo alikuja kuanzisha utatu mtakatifu Yesu hajui na wala hajawahi kuhubili kitu kinacho itwa utatu mtakatifu.
Nyie endelei kufuata mafundisho potofu ya Paulo Yesu atawakataa siku ya mwisho hamtaamini.
YESU yupi 😂😂Jambo usilolijua ni kua hata waislam wanamsubiri Yesu Kristo, sema kwakua huna elimu yoyote zaidi ya chuki. baki na ujinga wako.
Baada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive.
Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo.
Kama wale wanaojiita wakristo wanavyoamini, hata muislam nae pia anaimani yake juu ya Kristo kwa mapokeo yake.
Ni jambo la aibu kwa watu wanaojinasibisha kua wasomi kuogopa mdahalo na maneno kibao.
Wengine mnasambaza chuki tu ila hata hamkumbuki mara ya mwisho kufungua bible ni lini, kanisani hamuendi ila linapokuja suala la waislam mnajifanya km ndio Petro mwenyewe.
Acheni hivyo, chukihaifai. Mdahalo si kosa, kibaya ni kukachifu.
Wanatafuta kick mtu wao ni Issa bin Maryamu matapeli wakubwa haoKwanini waandike Jesus and muhamad na sio Issa na muhamad?
Hata Mbunge wa Kawe hana?Baada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive.
Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo.
Kama wale wanaojiita wakristo wanavyoamini, hata muislam nae pia anaimani yake juu ya Kristo kwa mapokeo yake.
Ni jambo la aibu kwa watu wanaojinasibisha kua wasomi kuogopa mdahalo na maneno kibao.
Wengine mnasambaza chuki tu ila hata hamkumbuki mara ya mwisho kufungua bible ni lini, kanisani hamuendi ila linapokuja suala la waislam mnajifanya km ndio Petro mwenyewe.
Acheni hivyo, chukihaifai. Mdahalo si kosa, kibaya ni kukachifu.
Hata huyo Muhammad ahitaji mjipendekeze kwake maana hamna mnacho msaidia.Haiondoi ukweli , Muhammad ni tapeli ndio maana wakristo huwezi kukuta wanahangaika nae au kujipendekeza
Kwa mujibu wa uisilam Isa hakufa bali alipaa na kwenda mbinguni uwe unaongelea mambo ambayo una elimu nayo.Wanatafuta kick mtu wao ni Issa bin Maryamu matapeli wakubwa hao
Wameona Issa hana mvuto sababu ni marehemu aliyekufa na kuzikwa akaoza kaburini hakufufuka
Yesu hawahusu kabisa Yesu na Issa ni watu wawili tofauti Wa kwao ni Issa
Walitakiwa mdahaho wasene Issa and Mohamed
Wanadhani sisi watanzania wajinga kama wao kisa wanemleta mtu mweupe mwemye kibaraghashia kichwani kuwa tutababaika na kumuona wa mana kwa rangi yake na hicho kibaraghashia chake
Huyo Issa wao ndio wahangaike naye ndie anawahusuKwa mujibu wa uisilam Isa hakufa bali alipaa na kwenda mbinguni uwe unaongelea mambo ambayo una elimu nayo.
Yesu wenu hali yakuwa hawajui?Huyo Issa wao ndio wahangaike naye ndie anawahusu
Yesu Kristo wetu watuachie wenyewe
Wetu alikufa akazikwa na akafufuka na akapaa
Hatuna Yesu ambaye hakufa akapaa huyo ni wao huyo Issa wao huyo ndie wahangaike naye
Yesu wetu wanuache wahangaike na Issa wao
YESU sio IssaHata huyo Muhammad ahitaji mjipendekeze kwake maana hamna mnacho msaidia.
Ila na nyinyi acheni kujipendekeza kwa Yesu maana hawajui.
Muhamadi anakiri hajui atakachofanywa siku ya kiama wala mtakachofanywa wafuasi wakeHata huyo Muhammad ahitaji mjipendekeze kwake maana hamna mnacho msaidia.
Ila na nyinyi acheni kujipendekeza kwa Yesu maana hawajui.
Anaye jua kila kitu ni Mungu pekee mtume alikuwa binadamu kama ww hata Yesu unaye muita Mungu alikuwa mwanadamu kama ww.Muhamadi anakiri hajui atakachofanywa siku ya kiama wala mtakachofanywa wafuasi wake
Ww huyo Yesu na Isa ulisha wahi kuwaona mpaka useme walikuwa tofauti?YESU sio Issa
Msimpakazie Yesu jina fake la issa
Bakini na Issa wenu