Tuelewane: Hakuna mwenye hati miliki ya Yesu Kristo

Wengine mnasambaza chuki tu ila hata hamkumbuki mara ya mwisho kudungua bible ni lini, kanisani hamuendi ila linapokuja suala la waislam mnajifanya km ndio Petro mwenyewe. Acheni hivyo, chukihaifai. Mdahalo si kosa, kibaya ni kukachifu.
Sawa
 
Kwanini waandike Jesus and muhamad na sio Issa na muhamad?
 
ni kweli mmekuwa kimya sana ila wapo wahuni wenu huwa hawaachi kukashifu ukristo.
 
Kwenye Ukristo , Muhammad ni tapeli tu kama kina mwamposa ,unataka wakristo wamseme vzr iweje wakati ni mpotoshaji tu
ni mmoja kati ya manabii wa uongo waliotokea ulimwenguni na kuidanganya dunia
 
Mbona mkiambiwa Muddy SAW alikuwa mfilaji na mbakaji vitoto mnatokwa kamasi? Tuvumiliane tuu
 
Nyie mna hati ya kummiliki muhammad , maana watu hata wakichora picha tu mnataka kumtoa kichwa
 
Si mbona tulishahitimisha hayo mambo muda sana! nyie mko nyuma sana! Baki na hemed wenu nasi mtuachie yesu wetu au mnamtaka yesu awe wenu!?
 
Ni mihemuko ya ujinga...wengi hawana knowledge ya dini...
Wanapenda yale yanayofurahisha nyoyo zao lakini hamna kitu..
Rudini darasani..msome Bible,+ Quran.. Someni history kwa umakini..., fanyeni Tafakari kwa kina ukiwa umetulia mwenyewe bila akili ya kushikiwa na mjanja- mjanja- ..pengine ndani ya joho or kanzu...
Ukiweza hivyo utakuwa ni mtu usiye na kejeli + jazba....utagundua mengi ukae zako kimya jinsi ulivyotumika
 
Ukristo ni AMANI, upendo na ndugu kwani ni dini ya kweli. Kwa wapagani wote na waabudu mashetani mnakaribishwa kuingia katika Imani ya kweli. Ndiyo maana wasiokuwa na dini ya kweli wao huangaika kuandaa matamasha na makongamano huku wakitumia Jina la YESU.
 
Mwenye hati miliki na Yesu ni wafuasi wake yaani wakristo.Ee YESU waonyeshe iliyo kweli wanaopotea kwa imani za giza. Wanao eneza chuki pia uwasamehe kwani wamepotea kwa hizo imani zao na hawajui wanalofanya. Mapepo wanayo fuga yamenyonya uelewa wao uwasamehe na uwape ufahamu.
 
Jamii ya Wagalatia wengi wao ni watu wasio na akili.
Hawana akili za chuki wala mauwaji wana akili za amani na upendo. Hawajafundishwa chuki wala kubaguana. Haya hapo linganisha nani mwenye akili. Anayehubiri upendo kupitia dini ya kweli au ubaguzi kupitia dini ya kilaghai.?
 
Katika kitabu kitakatifu cha waislam Quran kimemzungumzia nabii mmoja anaeitwa Issa,,,na maelezo ya nabii huyu yanafanana sana na Yesu aliyetajwa katika biblia...

Hivyo basi kama Yesu ametajwa katika Quran,,,waislama wanayo haki ya kufanya mdahalo juu ya hawa manabii wawili ilimradi wasizungumze chochote kumhusu Yesu kwa kutumia Biblia.
 
Ni sawa tu mchambue utakavyo mhimu tu jiepushe kukashifu.
 
We ndo kilaza unaeongozwa na chuki, mada inasema “jesus&muhammad” ila kwakua unaungozwa na chuki na huenda hata hukuona tangazo lenyewe, unasema Vs,

Kuna tofauti kati ya vs na and. Wasomi uchwara nyie
Hata huko alipotoka naona wanaongozwa na chuki.....tena Bangladesh waislamu wenzie
 
We ndo kilaza unaeongozwa na chuki, mada inasema “jesus&muhammad” ila kwakua unaungozwa na chuki na huenda hata hukuona tangazo lenyewe, unasema Vs,

Kuna tofauti kati ya vs na and. Wasomi uchwara nyie

Watakuwa wamebadilisha bro. Mwanzoni ilikuwa Jesus vs Mohammad
 
subir wangalatia wa mchongo waje kukutusi apa ila umewapasua vya kutosha 😁
 
Watakuwa wamebadilisha bro. Mwanzoni ilikuwa Jesus vs Mohammad
Acheni kulazimisha mambo kuwa kwenye tafsiri mnao itaka nyinyi.
Waisilam hawawezi kumshindanisha yesu na Muhammad kwa sababu kwa mujibu wa iman yao wapo kwenye daraja moja.
Na katika uislam ukimkataa nabii mmoja basi unakuwa ume wakataa wote kwa sababu manabii wote wameletwa kwa kazi moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…