Hakuna kwenye Biblia hakuna nabii Issa huyo wenu msituchomekee wakiristo huyo nabii wenu tapeli nabii Issa bin Mariam mzaliwa chini ya mtende mhangaike naye wenyewe sisi wakristo hatumtambui kama Yesu kwetu wakristo Issa Bin Mariam ni pepo shetani kubwa lililozaliwa chini ya mtende na hatultambui kama lenyewe ni Yesu sisi wakristoYesu wenu hali yakuwa hawajui?
Mtume mnao takiwa kijimilikisha ni Paulo maana ndo aliye anzisha ukristo Yesu hajawahi kuanzisha dini inayo itwa ukristo na wala haijui.
Waislamu wakae mbali na wakristo wa Tatunajielewa kama huyo mhubiri anafikiri aweza danganya wakristo wa Tanzania kakoseaKATAFUTE WAISLAMU WENZAKO MISIKITINI MDANGANYANE ,AU WASIO NA ELIMU ,TUNAPOSEMA ISA NI TAPELI TUNAMAANISHA ,TUNAPOSEMA ISA SIO YESU TUNAMAANISHA
JINA LA ISA MAANA YAKE NINI? Ngoja tukupe ilimu
Katika Qurani yenye jumla ya juzuu 30; Surah 114; aya 6236; maneno yenye kutamkia 76,440; herufi 322,373; jina Isa linatamkwa lisa au Aysi limetajwa mara 25. Isa pia ameitwa masihi mara 93. Lakini tunaposoma Qurani iliofarsiriwa/tafsiriwa na Imam Baidawi Vol 1 Ukurasa 160 ameeleza kuwa Isa jina la Kiarabu maana yake ni Wekundu unaozidiana na weupe "ZERUZERU". Hii ndio maana ya Jina la Isa wa Quran. Je, Yesu wa Biblia maana yake nini?
JINA Yesu linatokana na lugha ya Kiebrania ‘Yehoshua’ katika lugha ya Kigiriki wanasema ‘lesous’ inatamka ‘Yesous’ yaani Yesu. Katika lugha ya Kiarabu wanasema ‘Yasu’, kwa kiingereza ni “Jesus” maana yake ‘Bwana anaokoa au Bwana ni Mwokozi’ Isaya 43:6, 10-11.
Katika Biblia ambayo ina jumla ya Sura 1189; aya 31,102; vitabu 66 – Agano la kale vitabu 39 na agano Jipya vitabu 27; Neno Mwokozi kwa Kiingereza wanasema ‘Saviour’ limetajwa mara 55. Ikumbukwe kwamba katika agano jiypa jina Yesu au Yehoshua (kwa Kiebrania) limetajwa mara 1275 katika aya zipatazo 1226.
Zingatia pia kuwa agano jipya lina jumla ya aya 7930 na Sura 260 hivyo hapa tunaona jina Yesu maana yake ni Mwokozi na jina Isa ni wekundu uliozidiana na weupe. Kwa kuwa maana ya haya majina tofauti bila shaka Isa sio Bwana Yesu.
Jina la yesu huwa linabadirika kutokana na lugha inayotumika Lakin Muhammad Ni vile vile lugha zote: zakir anatumia English thus why JesusKwanini waandike Jesus and muhamad na sio Issa na muhamad?
Mmmmm acha hizo shetani lenu Issa bin Mariam sio Yesu KristoJina la yesu huwa linabadirika kutokana na lugha inayotumika Lakin Muhammad Ni vile vile lugha zote: zakir anatumia English thus why Jesus
Yesu awe ndo Isa au asiwe Isa lakini ukweli ni kuwa hata nyinyi wakristo Yesu hawatambui maana mpaka ana kufa hakuacha dini inayo itwa ukristo na wala hakutabili kuwa huko mbele kutakuwepo wafuasi wangu wanao itwa wakristo.Hakuna kwenye Biblia hakuna nabii Issa huyo wenu msituchomekee wakiristo huyo nabii wenu tapeli nabii Issa bin Mariam mzaliwa chini ya mtende mhangaike naye wenyewe sisi wakristo hatumtambui kama Yesu kwetu wakristo Issa Bin Mariam ni pepo shetani kubwa lililozaliwa chini ya mtende na hatultambui kama lenyewe ni Yesu sisi wakristo
Shetani lenu na pepo liitwalo Issa bin Mariam bakini nalo huko huko misikitini kwenu wakristo hatulitambui hilo shetani na pepo
Wewe huko madrasa walikulisha ujinga kwamba Ukristo ulianzishwa na Paulo,Ni haki yako kuamini hivyo maana hata waisilam wanamuona mtume wenu paulo kama tapeli aliye kuja kuanzisha ukristo na kupotosha mafundisho Yesu mnao dai kumfuata.
Yesu hajui dini inayo itwa ukristo na wala hakuwahi kuanzisha dini inayo itwa ukristo, ukristo ulikuja kuhasisiwa na Paulo sasa nawashangaa mnavyo jipendekeza kwa Yesu.
Paulo ndo alikuja kuwaambia kuwa Yesu ni Mungu hali ya kuwa Yesu hajawahi kusema yeye n Mungu.
Paulo ndo alikuja kuanzisha utatu mtakatifu Yesu hajui na wala hajawahi kuhubili kitu kinacho itwa utatu mtakatifu.
Nyie endelei kufuata mafundisho potofu ya Paulo Yesu atawakataa siku ya mwisho hamtaamini.