Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

Mkuu pole sna,best way ni mazoez na usizidishe kiwango pia utachoka sana au siku unagame ndo unaenda Fanya mazoez utatia aibu
Nguvu za kiume hua zinaanzia miguuni na mapajani kwa uzoefu wangu m nlipata tatzo kama lako na sio kila zoez Fanya haya ma3 at least marambili kwa week gym
1.weight squat(barbell)
2.front squat...
Kama weight squat ni ile ya kuchuchumaa na kuinuka,basi nimefanya sana ndugu yangu yani lakini hakuna matokeo mazuri..

Hiyo front squat ungenambia ikoje na hiyo lunge labda huenda zikawa na msaada..

Ila hali ni mbaya ndugu yangu muda wowote nakimbiwa..
 
Faida ya vumbi la Congo: utapiga papuchi muda mrefu sana (saa 1 hadi masaa ma 3 bila wareno kutoka).

Hasara: Hautafurahia kunyandua, utamfurahisha pisi kama anapenda mwendo mrefu.

MENGINEYO
Ukizoea sana vumbi la congo, akili na hisia vitakua tegemezi zaidi kutumia vumbi ndiyo ukapige mechi, ukishtukizwa na huna vumbi unaweza kukataa mechi.

Haliongezi nguvu za kiume, linatia ganzi tu. Ukipaka ikatokea pisi hajaja, haina madhara.

Litumie kwenye show mpya kwa kulipaka kidogo tu, hakikisha unamchachafya pisi kwenye maandalizi hata dakika 80 hivi unamuandaa tu (yaan hadi awe nyang'a nyang'a) hapo ukipanda unaweza piga dakika 90 hivi wareno wakaja.

KUMBUKA
Mwanamke anatulia kwa mwanaume kama una PESA(hela, noti, shekeli), au unapiga mti vizuri, tofauti na hapo fanya mambo mengine tu.

"Not everything is for everybody"
 
Mkuu nataka nkaonane na madaktar specialist wa wanaume...ww vp ushawahi kwenda hospital juu ya hilo tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hospitali bado, nimekua nikifuata ushauri tu wa mitaani. Ila nahitaji kwenda kwa wazee niwaeleze ukweli naweza kupata msaada kabla kufika huko..

Maana mimi nasimamisha vizuri tu na naweza kumuandaa mke wangu hata masaa mawili mashine inasimama tu..

Ila sasa nikiingiza tu dahh hapo sijui kinatokea nini yani dakika 3 nyingi nishabwaga
 
Tafuta Msamitu, duka la dawa asili hasa haya ya dawa za kisuna.

Nenda kachanganye na mafuta ya mgando, uwe unamasaji dushe kila siku usiku.

Masaji kwa siku 5 bila kunyanduana, siku ya 6 anza kunyanduana (mabadiliko utayaona).

Kama huna genye sana, hebu endelea na zoezi walau kwa siku 14. Mishipa ya dushe itakua imara sana na itakusaidia kuwahi kurudia tendo.

ANGALIZO
Upatapo mechi usiwe mtu wa kupaniki, usikamie mechi.

"Not everything is for everybody"
 
Faida ya vumbi la Congo: utapiga papuchi muda mrefu sana (saa 1 hadi masaa ma 3 bila wareno kutoka).

Hasara: Hautafurahia kunyandua, utamfurahisha pisi kama anapenda mwendo mrefu.

MENGINEYO
Ukizoea sana vumbi la congo, akili na hisia vitakua tegemezi zaidi kutumia vumbi ndiyo ukapige mechi, ukishtukizwa na huna vumbi unaweza kukataa mechi...

mkuu unapaka kwa kiwango gani?
 
Tafuta Msamitu, duka la dawa asili hasa haya ya dawa za kisuna.

Nenda kachanganye na mafuta ya mgando, uwe unamasaji dushe kila siku usiku.

Masaji kwa siku 5 bila kunyanduana, siku ya 6 anza kunyanduana (mabadiliko utayaona)....
Ni gharama kiasi gani hiyo MSAMITU!!
 
Nikweli kabisa mkuu mimi nadhani watu hawafikirii adha na kejeli tunazokutana nazo kwa hawa wake zetu..
Just imagine umeoa then tangu uoe mwanamke hajawahi kufurahia mchezo unafikiri aibu gani unapata..

Mimi tayari nishapewa notifications yani nakiri kweli mke wangu ni mvumilivu lakini hata mimi naona kabisa amechoka yani ninapoelekea bora niwe mfuasi wa hii kitu tu..

Bwana Misitu wasiokua katika hali kama yako hawawezi lifahamu hilo tatizo. Binafsi nakaribia kuinua mikono nimeshindwa kubadilisha hali yangu, macho yangu yote yamebakia huko huko kwenye vumbi la kongo ila hofu yangu ni kama yako madhara yake bado sijayaelewa.
 
Nimetumia vumbi mara ya kwanza mwaka huu. Nilitoka zangu ghetto jamaa akanipa niimalizie baada ya kujua naenda kukutana na manzi. Nikatumia lakini sikuambulia utamu wowote wala sikumwaga, nikajilaumu tu.

Niliporudi nikamwambia akadai nimekosea, nikapewa siku nyingine nikatumie kule nikakutana na dada mmoja anayajua kinoma...
Bj ndo nini mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana dah matatizo yapo na pia tiba zipo tofaut na sexual stimulant ingawa ni wachache wenye nazo
 
Hospitali bado, nimekua nikifuata ushauri tu wa mitaani. Ila nahitaji kwenda kwa wazee niwaeleze ukweli naweza kupata msaada kabla kufika huko..

Maana mimi nasimamisha vizuri tu na naweza kumuandaa mke wangu hata masaa mawili mashine inasimama tu..

Ila sasa nikiingiza tu dahh hapo sijui kinatokea nini yani dakika 3 nyingi nishabwaga
Wewe huna tatizo lolote...tatizo lipo akilini kwako
 
Back
Top Bottom