Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Hapana mkuu naulizia tu ,sijawah kutumia nataka nijarbu ,ila nikishafahm athar zakeWanaume tunazd kuisha..
Kwa hiyo bila hiyo kitu shughuli hakuna eehh..
Ni kweli,hii haina tofauti na yule mtu ambaye ili achelewe ni lazinma anywe Konyagi,akili ikishazoea hivyo utakuwa huna mbadala...Madhara makubwa ni ya kisaikolojia. Ukishajiaminisha kuwa huwezi kupiga show (ya kueleweka) bila hayo madawa basi kwisha habari yako. Afadhali utumie njia za mazoezi na lishe bora; na sana sana kujiamini unless kama una matatizo mengine.
Mimi mzunguuko mmoja sifikishi hata dakika 3 na nipo vizuri sina kitambi wala chochote, nimefuata taratibu zote mazoezi vyakula na mambo kibao yan tips karibia zote..
Ila dahh show mbovu kila kukicha karibu mke anadai talaka yan sielewi kwakwel
Hii imekaa poa sana mkuuMkuu pole sna,best way ni mazoez na usizidishe kiwango pia utachoka sana au siku unagame ndo unaenda Fanya mazoez utatia aibu.
Nguvu za kiume hua zinaanzia miguuni na mapajani kwa uzoefu wangu m nlipata tatzo kama lako na sio kila zoez Fanya haya ma3 at least marambili kwa week gym