Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Madhara makubwa ni ya kisaikolojia. Ukishajiaminisha kuwa huwezi kupiga show (ya kueleweka) bila hayo madawa basi kwisha habari yako. Afadhali utumie njia za mazoezi na lishe bora; na sana sana kujiamini unless kama una matatizo mengine.