Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

YAANI HATA KAJALA NA MPOKI HUWA HAWAAMINI.WEWE UWAANGALIE TU USONI WAKATI WANAMKABIZI MSHINDI MKWANJA
 
Kuna mtu kasema kamati ya kijiji ndio mmiliki wa hii kitu. Na kweli jinsi vyuma jinsi vilivyokaza imebidi na kamati kuu yenye siri.kali inaze kubeti
 
Hii michezo waachieni wenye hela za kuokota au kuiba. Kamari zote hazijawahi kumwacha mtu salama
 
Kuna mtu kasema kamati ya kijiji ndio mmiliki wa hii kitu. Na kweli jinsi vyuma jinsi vilivyokaza imebidi na kamati kuu yenye siri.kali inaze kubeti
Amshukuru magu Enzi za mapedejee wangemla mpaka sasa angekuwa kabaki mmoja au wawili ndio hawajakula
 
Sitaki kuamini kama jf tumeshindwa kujua mmiliki wa BIKO !
 
Mkuu sorry, hivi wewe ni ke au me?
 
Naomba rekebisheni kasoro hii
Nimeshuhudia watu kadhaa wakilalamika sana
MTU akicheza Biko kwa baadhi harudishiwi mrejesho kama kashinda au ajaribu tena
Sasa Hata mkitafutwa kwa baadhi ya no.zenu za Whatsaap hamjibu.Na wengine wanadai mteja ameliwa kupiga simu tena alipie hamna ya bure
Rekebisheni.MTU akicheza Hata kama hajapata ajue kulikoni iwe kama kadumbukiza Pesa shimoni
Na wanaolalamika hawajui watawafikiaje
Nikaona nijitolee niandike hapa Huenda akaona
Mana wanasema hakuna Namna ni kucheza BIKO tu biashara zinasuasua
Ndo wakakutan Na hayo
 
Vumilia tu
Zipo njia nyingi za utapeli ikiwemo kamari
 
Gambling
Itabidi twende Las Vegas tukajifunze zaidi. Teh teh
 
Mimi mwenyewe nimeshaliwa sana na hawa biko kalibuni wahanga wenzangu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…