Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

ni upuuzi kucheza BIKO ukitegemea milion 10+, wale wanapangwa ndomaana haiko live mtu kashinda 60M ni fundi cherehani na hayuko excited kabisa anaongea kama kashinda 500 ya vocha?
real winners ni wale wa laki au nusu laki.
hakuna mjasiriamali wa kukupa hela kilaini hivo wote target yao faida na strategy waliokuja nayo ni promote kwa nguvu sana hii kitu ijulikane wapige pesa,
na wamezipiga mpaka wameanzisha biashara nyingine ya betting BIKO SPORTS.
mpaka ikaishe watakua na pesa ya kuanzisha viwanda
 
Tanzania ya viwanda..

BIKO
Tatu Mzuka
Mbet
Mkekabet
Meridian betting

Kila la kheri ndugu zangu..
 
Usiseme watu wanalalamika, sema mimi nalalamika mnakula hela zangu halafu hamnipi mrejesho.
Nimechekaaaa sana.OK.
Niseme tumeliwa wengi.Kuna Baba mmoja muuza Duka.Analalamikaaaa huyooooo
Ila vielfu 20 au 10 Na 5 kavip
 
Nauliza hivi mshindi wa biko nguvu ya buku,hivi anapigiwa cm kupewa taarifa kuwa mshinda kwa muda gani,maana kwenye tv inakuwa cyo live
 
Shem ulicheza BIKO?
 
Shem ulicheza BIKO?
Nilicheza
Baada ya kutumia kama Elfu 8
Nikashinda 20,000/
Nikacheza tena kama 4,000/
In kashinda 5,000/
Nicheza Elfu 3 nikashinda 100,000/
Tena nikatumia 8,000/ nikashinda 10,000/ nikacheza Elfu 6 nikashinda 5,000/
Sasa baada ya hapo kila nikicheza Mara mbili Elfu 2 SMS hairudi ile ya kukwambia umeshinda au umeshindwa jaribu tena .Haziji.Nimeona na wengine wanalalamika.
Ila kiukweli nilipata hizo pesa na kutumia
Ina Mana nimepata zaidi kuliko kupoteza.
Shem Jose Jaribu na wewe huwezi jua si umeona Vyuma vimekazaa
Au kwako halamu??
 
Habari zenu wakuu,
Nimeskia promo mbalimbali kwenye vyombo vya habari kuhusu mchezo wa bahati nasibu maarufu kama BIKO...,ningependa kufahamu kama kuna mtu yeyote aliyeshinda ili nami nijaribu bahati yangu
Jaribu Mimi nimecheza na kushindana shida japo Sasa SMS hazirudi but hope wanalifanyia kazi
 
kwangu sio haramu, kumbe ni kweli...kwa hiyo ulijipatia faida ya kutosha tu shem?
 
wakuu nisidieeni maana mficha mradhii.... nataka nibet kutumia bikko sport betting online, sasa kila nikifika kuchagua mechi, sasa nataka nikalipie kama nilivyokuwa nafanya MBetting, huku naona kama nashindwa hivi, na wenyewe wanasema haina haja ya kujisajiri, je nimekosea wapii, naombeni maelezo ya hatua kwa hatuaa
 
Wadau habari za leo? me ni mchezaji mzur sana wa hii michezo though nashinda mara chache zile buku na buku 5 za biko na 1000 za tatu mzuka

kwa tatumzuka nimegundua njia sahh ya kucheza ni kurudia namba moja ile ile ya bahati na biko ni kucheza dk 2/3 kabla ya lisaa kuisha

hapo naongelea kwa vizawadi vidogo vidgo kwa yale ma million kuna ujanja gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…