Landala
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 997
- 478
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh! hizo asilimia za makadirio ya ushindi, zimeniacha hoi kabisaBiko mimi nimecheza mara kadhaa.
Kushinda droo kubwa ya milioni 20 probability ni 0.000001%.
Droo ndogo za siku kushinda ni kama 0.02% kwa kila buku unayocheza.
Ni vyema kujaribu bahati ila angalia usitumie fedha ulizozitenga kwa ajili ya mambo mengine.
Ni heri kwenda kucheza premier betting game la odds au farasi kule hakuumizi sana mie nilicheza huko zamani wakati naishi kwa kuungaunga.
Sasa nimeacha, mimi na wife kwa sasa tunacheza biko siku tunapopata pesa isiyo katika bajeti zetu.
ha ha ha!!! ume nikumbusha mbali sana, Mzeetola!!... Lakini mbona zote mi naona kama zinafanana kwa uchezaji wakeBiko Ni Sawa Na Tola Mla Gizani Hata Droo Huoni Likichezeshwa Au Point Zako.
ha ha ha!!! ume nikumbusha mbali sana, Mzeetola!!... Lakini mbona zote mi naona kama zinafanana kwa uchezaji wakeBiko Ni Sawa Na Tola Mla Gizani Hata Droo Huoni Likichezeshwa Au Point Zako.
ushawahi cheza mkuuIla hii TATUMZUKA kama ina ukweli fulani vile!
Tuelekeze maana naona BIKO wanakula tu hela yangu hata buku haijarudi toka nimeanza kuchezaIla hii TATUMZUKA kama ina ukweli fulani vile!
pole mkuu, ngoja waje walio wahi kushindaTuelekeze maana naona BIKO wanakula tu hela yangu hata buku haijarudi toka nimeanza kucheza
tangu nime anza kuisikia hii michezo sijawahi ona hata mmtu mmoja anakuja kutoa ushuhuda, hata kwenye huu uzi sioniBiko nani anapata million1 au elfu 20,angalau million20 tunadanyika kwa kuwaona washindi
huyo jamaa yako amewahi shinda kiasi ganiMimi sijawahi kuicheza ila jamaa yangu huwa anacheza na kupatia sema hii michezo siiamini sana bora ukafanya betting
Ni heri kununua mbwa kwamba waweza kumtumia kuwinda visungura.duh! hizo asilimia za makadirio ya ushindi, zimeniacha hoi kabisa
kweli mkuu...makampuni husika hayajatoa elimu ya kutosha kuhusiana na hii michezo, yani wameandika juujuu tuUkisikiliza hizi radio mbao utaona tatumzuka rahisi kumbe hata hawa watangazaji wanaoipromote hawaelewi au wanapotosha makusudi jinsi ambavyo mtu anashinda, ikanibidi nijaribu kuitafuta hii taasisi yenye dhamana ya tatu mzuka,maajabu sikuona hata website yao bali nilipelekwa kwenye Facebook page,kule nilibahatika kusoma maelezo ndio nilipogundua kuwa ukiwa na akili huu mchezo ni mgumu sana kushinda maana ili ushinde lazima namba zote tatu zitoke ndio wanazidisha Mara 200 ya hela uliyoweka, ila zikitoka 2 wanazidisha Mara 2 ikitoka moja nahisi umepigwa hawakuweka wazi.
Kwa kifupi bora ubet unaona Chelsea na Arsenal wanatoa Gg unapata hela kuliko upatu huu unaoanzishwa hata hauonyeshi nani mmiliki hata website ya kuelemisha hamna.
Nani alaumiwe? Napeleka lawama gaming board hawafuati standard kabisa kampuni zinajianzisha kiholela tu,haiwezekani serikali iruhusu wananchi wacheze mchezo hawajui nani custodian wa hela zao eti simply tu kwavile unatangazwa na radio.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ni hivyo basi bora nikacheze kamali ya makato (kalata) ingawa hii kamali inapigwa marufuku sana wakati na yenyewe ni ya bahati nasibuNi heri kununua mbwa kwamba waweza kumtumia kuwinda visungura.