Tuelimishane: mazishi ya Membe yamebeba sura ya msiba wa kiongozi mkubwa Kiitifaki. Nini maana yake

Acha uchuro mkuu, hebu edit manenoyako, marehemu alikuwa karibu na Marehemu ambae wanasema ninduguyake ndio nini.

Tuliza kichwa ama pumzika ugulia msiba kwanza haupo sawa wewe.
 
Unadhani watakubali ajongee msibani?

Wanajua tayari washakanyaga waya wa exit hivyo wanajitahidi kuishi kwenye mvuke
Yule wanaogopa hata kumpa maiki asalimie tu
 
Mkuu, kwa ufupi tu ni kwamba mzee BCM RIP alikuwa ni mmoja wa wazee waandamizi wa taasisi na waasisi.

Kwa kiingereza huitwa The Establishment.
 
Mzoga upo Chato.

Na ndo maana hata maazimisho ya Kimbukumbu ya miaka 2 yalidoda,Mama Janeth aliishia kufarijiwa na wanafunzi tu. Viongozi wa Mkoa wa Geita na wilaya husika (Chato) waliyapuuza. Sijui mwakani hali itakuwaje.
Kazikeni mzoga wenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…