Tuelimishane: mazishi ya Membe yamebeba sura ya msiba wa kiongozi mkubwa Kiitifaki. Nini maana yake

Poleni watanzania mlioguswa na msiba huu mzito wa Bernard Kamilius Membe.

Ninaangalia live capture ya sherehe ya kumuaga Marehemu Membe hapo Karimjee. Naona kuna itifaki imeandaliwa kwa namna ambayo inanipa dukuduku kufahamu undani wake.

View attachment 2621216
Protokali za Mkuu wa Nchi kushiriki msiba wa mtumishi ama mstaafu zinafahamika. Na ikumbukwe marehemu Membe alikuwa amestaafu na sheo chake cha juu cha mwisho kilikuwa ni Waziri wa Mambo ya Nje.

Nimeona Serikali nzima imejaa pale Karimjee, na hata wakuu wa mihimili ya dola nao wameshiriki kupata mimbari ya kutoa salaam kwa protokali za serikali.

Nafahamu humu JF kuna wataalam wengi, naomba tuelimishane inakuwaje huu msiba kuwa na protokali za juu kuliko misiba hata ya mawaziri waliowahi kufariki wakiwa madarakani.
Tunamkumbuka aliyekuwa Waziri wa Ulinzi alipofariki hatukuona ukuu wa protokali namna hii.

R.I.P. Membe
Sema wakuu tuchukue tahadhari ni kama kuna homa inayo ambatana na mafua imezuka hivi.. watu wangu kadhaa wakaribu wameumwa labda ni kwasababu ya baridi..
 
Mzoga unaagwa leo😂😂😂 unapelekwa Rondo
Kwani ule mzoga wa Chato umefufuka au umekwisha oza?
Maana ulizungushwa karibu nchi nzima na ukapelekea watu wengine kufa kwa kukanyagana wakigombea kuutazama
 
Mimi siyo mtaalam wa protokali lakini tukio lolote, akishiriki Rais, tegemea kuiona karibia Serikali yote.

Hata Mahiga, kama Rais angeshiriki, isingekuwa tofauti kubwa na hii ya leo.

Hapa ufahamu kuwa kuna Rais amehudhuria. Halafu Kikwete ni Rais mstaafu, na sote tunajua kuwa marehemu alikuwa karibu na marehemu, na wengine wanathubutu kusema ni ndugu yake.

Mtu mashuhuri akifariki au mtu wa kawaida asiye na umashuhuri wowote akafariki lakini watu wa karibu na marehemu wakawa ni watu mashuhuri, tegemea mabadiliko katika taratibu.
Mkuu umeongea vizuri sana , just Rais amefika lazima watu wake wa chin wampe kampani, sasa sijui mtoa mada alitaka Rais nenda kwenye msiba kama bi mkubwa wangu alioko Songea Nyasa
 
Poleni watanzania mlioguswa na msiba huu mzito wa Bernard Kamilius Membe.

Ninaangalia live capture ya sherehe ya kumuaga Marehemu Membe hapo Karimjee. Naona kuna itifaki imeandaliwa kwa namna ambayo inanipa dukuduku kufahamu undani wake.

View attachment 2621216
Protokali za Mkuu wa Nchi kushiriki msiba wa mtumishi ama mstaafu zinafahamika. Na ikumbukwe marehemu Membe alikuwa amestaafu na sheo chake cha juu cha mwisho kilikuwa ni Waziri wa Mambo ya Nje.

Nimeona Serikali nzima imejaa pale Karimjee, na hata wakuu wa mihimili ya dola nao wameshiriki kupata mimbari ya kutoa salaam kwa protokali za serikali.

Nafahamu humu JF kuna wataalam wengi, naomba tuelimishane inakuwaje huu msiba kuwa na protokali za juu kuliko misiba hata ya mawaziri waliowahi kufariki wakiwa madarakani.
Tunamkumbuka aliyekuwa Waziri wa Ulinzi alipofariki hatukuona ukuu wa protokali namna hii.

R.I.P. Membe
Hata mwizi akifa vyombo vya habari hutangaza wanafalijiana haituhusu wakamfukie tu yaishe
 
Eti wanasubiriwa kwa hamu. Akili za kipumbavu kabisa. Usikute wakati unasubiri wenzako wafe, ndo kwanza unaanza kufa wewe au mama yako.
Ila ukumbuke wanasubiriwa kwa hamu usitoe povu lako lote
Siku mbwa hawa wakidondoka daah
 
Poleni watanzania mlioguswa na msiba huu mzito wa Bernard Kamilius Membe.

Ninaangalia live capture ya sherehe ya kumuaga Marehemu Membe hapo Karimjee. Naona kuna itifaki imeandaliwa kwa namna ambayo inanipa dukuduku kufahamu undani wake.

View attachment 2621216
Protokali za Mkuu wa Nchi kushiriki msiba wa mtumishi ama mstaafu zinafahamika. Na ikumbukwe marehemu Membe alikuwa amestaafu na sheo chake cha juu cha mwisho kilikuwa ni Waziri wa Mambo ya Nje.

Nimeona Serikali nzima imejaa pale Karimjee, na hata wakuu wa mihimili ya dola nao wameshiriki kupata mimbari ya kutoa salaam kwa protokali za serikali.

Nafahamu humu JF kuna wataalam wengi, naomba tuelimishane inakuwaje huu msiba kuwa na protokali za juu kuliko misiba hata ya mawaziri waliowahi kufariki wakiwa madarakani.
Tunamkumbuka aliyekuwa Waziri wa Ulinzi alipofariki hatukuona ukuu wa protokali namna hii.

R.I.P. Membe
Mbona mzee makamba hakwenda msibani?
 
Ukiwa muumini wa watu utasema haya. Ukiwa muumini wa taasisi ulichoandika ni upumbavu. Kama ulienda shule utaelewa. Hatuhitaji viongozi ma fascist tunahitaji sheria zenye kutenda kwa kila mtenda! Sheria co mtu.. zipo kidhibiti matendo ya watu kama JPM. KWANN TENDA YA KUJENGA CHATO HAIKUTANGAZWA? MAYANGA CONSTITUTION NI KAMPUNI YA NANI?
Kange lako limeanza kuoza nenda kalifukie shauli yako
 
Back
Top Bottom