Tuelimishane: mazishi ya Membe yamebeba sura ya msiba wa kiongozi mkubwa Kiitifaki. Nini maana yake

Poleni watanzania mlioguswa na msiba huu mzito wa Bernard Kamilius Membe.

Ninaangalia live capture ya sherehe ya kumuaga Marehemu Membe hapo Karimjee. Naona kuna itifaki imeandaliwa kwa namna ambayo inanipa dukuduku kufahamu undani wake.

View attachment 2621216
Protokali za Mkuu wa Nchi kushiriki msiba wa mtumishi ama mstaafu zinafahamika. Na ikumbukwe marehemu Membe alikuwa amestaafu na sheo chake cha juu cha mwisho kilikuwa ni Waziri wa Mambo ya Nje.

Nimeona Serikali nzima imejaa pale Karimjee, na hata wakuu wa mihimili ya dola nao wameshiriki kupata mimbari ya kutoa salaam kwa protokali za serikali.

Nafahamu humu JF kuna wataalam wengi, naomba tuelimishane inakuwaje huu msiba kuwa na protokali za juu kuliko misiba hata ya mawaziri waliowahi kufariki wakiwa madarakani.
Tunamkumbuka aliyekuwa Waziri wa Ulinzi alipofariki hatukuona ukuu wa protokali namna hii.

R.I.P. Membe
Mtu wa mitengo tangu lini akastaafu?
Lakini kwa nini uumie Mkuu????
 
Wema haulipwi kwa ubaya abadani ukiwa mwema wewe ni mwema ukiwa mbaya vivyo hivyo . Tuendelee kujifariji kwa kusoma makala ile ya shiva na kile kitabu cha wahariri " I am the state"
Wala usijusumbue mkuu, jasus hajafa... pale rondo no mzoga wa nguruwe utafukiwa. Wema hawafi... alikufa jiwe tu.
 
Cha ajabu ni WanaCCM wa humu JF ndio wanaofurahishwa na kuondoka kwa mwana CCM mwenzao [emoji848]
Msiowote kwenye reli... wale wote waliofurah kifo cha Magufuli regardless wapo CCM au upinzani wanasubiriwa kwa hamu... pona pona yao waombe msamaha au waishi milele... la hasha walizikwa tutakojolea majeneza yao...
 
Poleni watanzania mlioguswa na msiba huu mzito wa Bernard Kamilius Membe.

Ninaangalia live capture ya sherehe ya kumuaga Marehemu Membe hapo Karimjee. Naona kuna itifaki imeandaliwa kwa namna ambayo inanipa dukuduku kufahamu undani wake.

View attachment 2621216
Protokali za Mkuu wa Nchi kushiriki msiba wa mtumishi ama mstaafu zinafahamika. Na ikumbukwe marehemu Membe alikuwa amestaafu na sheo chake cha juu cha mwisho kilikuwa ni Waziri wa Mambo ya Nje.

Nimeona Serikali nzima imejaa pale Karimjee, na hata wakuu wa mihimili ya dola nao wameshiriki kupata mimbari ya kutoa salaam kwa protokali za serikali.

Nafahamu humu JF kuna wataalam wengi, naomba tuelimishane inakuwaje huu msiba kuwa na protokali za juu kuliko misiba hata ya mawaziri waliowahi kufariki wakiwa madarakani.
Tunamkumbuka aliyekuwa Waziri wa Ulinzi alipofariki hatukuona ukuu wa protokali namna hii.

R.I.P. Membe
Kabudi si alitwambia kuwa Jiwe mawaziri wake alikuwa akiwaokota jalalani mbona kuleta nongwa kwenye msiba.
 
Poleni watanzania mlioguswa na msiba huu mzito wa Bernard Kamilius Membe.

Ninaangalia live capture ya sherehe ya kumuaga Marehemu Membe hapo Karimjee. Naona kuna itifaki imeandaliwa kwa namna ambayo inanipa dukuduku kufahamu undani wake.

View attachment 2621216
Protokali za Mkuu wa Nchi kushiriki msiba wa mtumishi ama mstaafu zinafahamika. Na ikumbukwe marehemu Membe alikuwa amestaafu na sheo chake cha juu cha mwisho kilikuwa ni Waziri wa Mambo ya Nje.

Nimeona Serikali nzima imejaa pale Karimjee, na hata wakuu wa mihimili ya dola nao wameshiriki kupata mimbari ya kutoa salaam kwa protokali za serikali.

Nafahamu humu JF kuna wataalam wengi, naomba tuelimishane inakuwaje huu msiba kuwa na protokali za juu kuliko misiba hata ya mawaziri waliowahi kufariki wakiwa madarakani.
Tunamkumbuka aliyekuwa Waziri wa Ulinzi alipofariki hatukuona ukuu wa protokali namna hii.

R.I.P. Membe
Membe anakofia nyingi!Nadhani ukachero wake ulikuwa wa hadhi ya juu na sio uwaziri tu kaka!

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Je ni sahihi kutaja wssifu wa mfanyakazi wa idara?​

Hawajawahi kufa? Maana hatykuwahi kusikia kabla hili jambo la marehemu kutajwa kama.mfanyakazi wa idara
Kwa hadhi na alipokuwa Membe ni sahihi.

Wengine hao utaambiwa tu aliajiriwa katika Ofisi ya Rais.
 
Kama ni hivi....Basi tena...Watu mumebeza panka basi,ila sasa ni mu/m...siba
 
Cha ajabu ni WanaCCM wa humu JF ndio wanaofurahishwa na kuondoka kwa mwana CCM mwenzao 🤔
Tofautisha kati ya Wafuasi wa CCM na Wafuasi wa Marehemu wa Chato! Hao Wafuasi wa Marehemu utiifu wao kwa marehemu haukuwa kwa sababu za kiitikadi bali ukabila. Wengi wao hapo ni Wasukuma. Walivyo na akili finyu wanadhani adui wa JPM alikuwa Membe bila kujua ambacho kilikuwepo kati ya Membe na JPM ni maslahi ya kisisasa.
 
Mzoga unaagwa leo[emoji23][emoji23][emoji23] unapelekwa Rondo
Uzuri wazee wa Londo wanacheki ktk VAR sababu za kifo cha mpendwa wao. Subirini pigo jingine huko sukuma gang utasikia uwii ujue wazee wamesha fanya yao.
Si mliona ule Moshi pale Ruangwa jamaa akasema naona mnaleta hadi moshi.

Tusio wana ccm tunafurahi tuu mnapo uana wenyewe kwa wenyewe halafu mnafurahi. Tuliwaambia kuwa siasa za chuki hazina tija lakini mkawa mnakenua meno tuu kufurahia mateso ya wapinzani Magufuli akiyatenda.
Sasa hivi chuki imerudi kwenu mnaitana mizoga na bado. Biblia inasema apandacho mtu ndicho atakacho vuna. Mlipanda chuki na sasa mnavuna chuki yenu wenyewe.
Maendeleo hayana vyamaa.
 
Msiowote kwenye reli... wale wote waliofurah kifo cha Magufuli regardless wapo CCM au upinzani wanasubiriwa kwa hamu... pona pona yao waombe msamaha au waishi milele... la hasha walizikwa tutakojolea majeneza yao...
Eti wanasubiriwa kwa hamu. Akili za kipumbavu kabisa. Usikute wakati unasubiri wenzako wafe, ndo kwanza unaanza kufa wewe au mama yako.
 
Back
Top Bottom