Tuelimishane: mazishi ya Membe yamebeba sura ya msiba wa kiongozi mkubwa Kiitifaki. Nini maana yake

Tuelimishane: mazishi ya Membe yamebeba sura ya msiba wa kiongozi mkubwa Kiitifaki. Nini maana yake

Mimi siyo mtaalam wa protokali lakini tukio lolote, akishiriki Rais, tegemea kuiona karibia Serikali yote.

Hata Mahiga, kama Rais angeshiriki, isingekuwa tofauti kubwa na hii ya leo.

Hapa ufahamu kuwa kuna Rais amehudhuria. Halafu Kikwete ni Rais mstaafu, na sote tunajua kuwa marehemu alikuwa karibu na marehemu, na wengine wanathubutu kusema ni ndugu yake.

Mtu mashuhuri akifariki au mtu wa kawaida asiye na umashuhuri wowote akafariki lakini watu wa karibu na marehemu wakawa ni watu mashuhuri, tegemea mabadiliko katika taratibu.
Acha uchuro mkuu, hebu edit manenoyako, marehemu alikuwa karibu na Marehemu ambae wanasema ninduguyake ndio nini.

Tuliza kichwa ama pumzika ugulia msiba kwanza haupo sawa wewe.
 
Unadhani watakubali ajongee msibani?

Wanajua tayari washakanyaga waya wa exit hivyo wanajitahidi kuishi kwenye mvuke
Yule wanaogopa hata kumpa maiki asalimie tu
 
Poleni watanzania mlioguswa na msiba huu mzito wa Bernard Kamilius Membe.

Ninaangalia live capture ya sherehe ya kumuaga Marehemu Membe hapo Karimjee. Naona kuna itifaki imeandaliwa kwa namna ambayo inanipa dukuduku kufahamu undani wake.

View attachment 2621216
Protokali za Mkuu wa Nchi kushiriki msiba wa mtumishi ama mstaafu zinafahamika. Na ikumbukwe marehemu Membe alikuwa amestaafu na sheo chake cha juu cha mwisho kilikuwa ni Waziri wa Mambo ya Nje.

Nimeona Serikali nzima imejaa pale Karimjee, na hata wakuu wa mihimili ya dola nao wameshiriki kupata mimbari ya kutoa salaam kwa protokali za serikali.

Nafahamu humu JF kuna wataalam wengi, naomba tuelimishane inakuwaje huu msiba kuwa na protokali za juu kuliko misiba hata ya mawaziri waliowahi kufariki wakiwa madarakani.
Tunamkumbuka aliyekuwa Waziri wa Ulinzi alipofariki hatukuona ukuu wa protokali namna hii.

R.I.P. Membe
Mkuu, kwa ufupi tu ni kwamba mzee BCM RIP alikuwa ni mmoja wa wazee waandamizi wa taasisi na waasisi.

Kwa kiingereza huitwa The Establishment.
 
Mzoga upo Chato.

Na ndo maana hata maazimisho ya Kimbukumbu ya miaka 2 yalidoda,Mama Janeth aliishia kufarijiwa na wanafunzi tu. Viongozi wa Mkoa wa Geita na wilaya husika (Chato) waliyapuuza. Sijui mwakani hali itakuwaje.
Kazikeni mzoga wenu!
 
Back
Top Bottom