mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Mbunge wa viti maalumu walemavu akila kiapo..binafsi sipingi uwepo wa wenzetu wenye changamoto bungeni, lakini kwa mwnenendo wa mambo ulivyo nchini hatutakuwa na budi bali kuwabagaza baadhi yao sababu na wao ni sehemu ya serikali batili.
Okey huyu Mh. atakuwa anatoaje hoja zake? Au ndo Ile ya kauli ya bunge limefungwa mdomo wameamua kuitekeleza kwa vitendo?
Okey huyu Mh. atakuwa anatoaje hoja zake? Au ndo Ile ya kauli ya bunge limefungwa mdomo wameamua kuitekeleza kwa vitendo?