GE2025 Tuelimishane: Mbunge huyu anayewakilisha wenye ulemavu atakuwa anatoaje hoja bungeni?

GE2025 Tuelimishane: Mbunge huyu anayewakilisha wenye ulemavu atakuwa anatoaje hoja bungeni?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu dada namfahamu vizuri tupo nae jengo moja alipokuwa anafanya kazi b4 hajawa mbunge

Mara zote anaambata na wakalimani wake wa alama wanaomsaidia kuwasiliana.

Na hata wakati anafanya kampeni alikuwa na hao wakalimani wake. Sasa Leo sijui amekumbwa na nini mpka kuelekea kulazimika kuapa bila usaidizi wa wakalimani. Na najua alishawaanda wakalimani wawili wa kumsaidia pindi akiwa bungeni.

Sasa sijajua ni Sheria imembana kwenye kuapa au mihemko yake tuu ya kutaka kutrend. Me mwenyewe amenikera sana.
Si walikataza kabisa wageni kipindi hiki huko bungeni.
 
Back
Top Bottom