Tuendelee kuwaombea wenzetu wa Mashariki ya kati

Tuendelee kuwaombea wenzetu wa Mashariki ya kati

Napenda hela

Member
Joined
Feb 8, 2025
Posts
32
Reaction score
51
Jamani tuendelee kuwaombea wenzetu mashariki ya kati watu wasio na hatia wanateseka.

vita sio vizuri, watoto wanateseka sana, naandika hapa machoz yananitoka. wakati nikiwa secondary nilisoma kazi moja wapo ya UNO, iliyo anzishwa mwaka 1945 nilikariri neno moja tu "To promote peace in the world".

Sasa inakuwaje hiki chombo kimekuwa kimya sana,MUNGU tunakuomba uingilie kati huko mashariki ya kati.
 
Najaribu kufikiria, sala itamshawishi vipi mtu anayetaka kufyatua kombora asiweze kulifyatua?

Ninachoona mimi kuwa suluhisho, ni ushawishi wa kimataifa tu; pande zote mbili kutatua tofauti zao.

Kuomba bila matendo ya usuluhishi ni sawa na kazi bure.
​
 
Jamani tuendelee kuwaombea wenzetu mashari ya kati watu wasipo na hatia wanateseka,vita sio vizur,watoto wanateseka sana,naandika hapa machoz yanamitoka,wakati nikiwa secondary nilisoma kazi moja wapo ya UNO,iliyo anzishwa mwaka 1945,nilikariri neno moja tu,To promote peace in the world,Sasa inakuwaje hiki chombo kimekuwa kimya xna,MUNGU tunakuomba uingilie kati huko mashariki ya kati,
Yaan hiyo ni nzuri sana. Inatengeneza kuheshimiana.

Bongo tumelemaa sana.
 
Tatizo Kuna Taifa mojalinataka kufuta Taifa lingine kwenye uso wa Dunia.
 
Yani tuache uombea watanzania wenzetu ambao wanaotekwa na kuuwa tuombee hao hata hatuwajui kweli tupo serious au tumelogwa ebu tuaache huu ujinga wa miaka ya 70 mnakaa kijiweni mnajadili mambo ya Iraq sijui Palestina kweli hivj wao wanajadili mambo yetu
 
Acha wawe bize na vita sisi tuwe bize kuvumbua tecnolojia mpya hapa lumumba
 
Back
Top Bottom