Tuendelee kuwaombea wenzetu wa Mashariki ya kati

Tuendelee kuwaombea wenzetu wa Mashariki ya kati

Jamani tuendelee kuwaombea wenzetu mashariki ya kati watu wasio na hatia wanateseka.

vita sio vizuri, watoto wanateseka sana, naandika hapa machoz yananitoka. wakati nikiwa secondary nilisoma kazi moja wapo ya UNO, iliyo anzishwa mwaka 1945 nilikariri neno moja tu "To promote peace in the world".

Sasa inakuwaje hiki chombo kimekuwa kimya sana,MUNGU tunakuomba uingilie kati huko mashariki ya kati.
Pambana na haya ya nchini kwako.
Utekaji ,mauaji ukandamizaji wa haki na demokrasia.
Hao Waarabu acha wapambane na hali yao.
 
Najaribu kufikiria, sala itamshawishi vipi mtu anayetaka kufyatua kombora asiweze kulifyatua?

Ninachoona mimi kuwa suluhisho, ni ushawishi wa kimataifa tu; pande zote mbili kutatua tofauti zao.

Kuomba bila matendo ya usuluhishi ni sawa na kazi bure.
​
💯 true
 
Back
Top Bottom