Napenda hela
Member
- Feb 8, 2025
- 32
- 51
Maombezi huwa hayafanyi kazi, zaidi ya kujipa matumaini hewa.Hapo Congo, Somalia na Sudan hawastahili kuombewa.?? Charity begins at home.
Yaan hiyo ni nzuri sana. Inatengeneza kuheshimiana.Jamani tuendelee kuwaombea wenzetu mashari ya kati watu wasipo na hatia wanateseka,vita sio vizur,watoto wanateseka sana,naandika hapa machoz yanamitoka,wakati nikiwa secondary nilisoma kazi moja wapo ya UNO,iliyo anzishwa mwaka 1945,nilikariri neno moja tu,To promote peace in the world,Sasa inakuwaje hiki chombo kimekuwa kimya xna,MUNGU tunakuomba uingilie kati huko mashariki ya kati,
Ndio nashangaa hao wanao ona solution ni kuombaMaombezi huwa hayafanyi kazi, zaidi ya kujipa matumaini hewa.
Maombezi ni muhimu kwa sababu hakuna anayejua matokeo ,akili za kibinadamu na utashi wao zimewafikisha hapo mpaka wanacharazana.Maombezi huwa hayafanyi kazi, zaidi ya kujipa matumaini hewa.
We ni robot, maana hii comment ni zaidi ya mara tano naiona
Usifanye kazi alafu uwe unasali tu ukifikiri chakula kitajileta chenyeweMaombezi ni muhimu kwa sababu hakuna anayejua matokeo ,akili za kibinadamu na utashi wao zimewafikisha hapo mpaka wanacharazana.
πππππUsifanye kazi alafu uwe unasali tu ukifikiri chakula kitajileta chenyewe