GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
UHAMIAJI TANZANIA na TISS wala msiwe na wasiwasi hili Jambo ni jema mno kwa Taifa letu hivyo endeleeni tu Kulala na Kuliachia kwani litadumisha sana Utaifa na Uzalendo wetu wa Kihistoria sawa?
Hizo idara ziko mifukoni mwa waheshimiwa hawawezi kufanya loloteUHAMIAJI TANZANIA na TISS wala msiwe na wasiwasi hili Jambo ni jema mno kwa Taifa letu hivyo endeleeni tu Kulala na Kuliachia kwani litadumisha sana Utaifa na Uzalendo wetu wa Kihistoria sawa?
You're right 100% but for many damn Fools like the one Commented #2 can't know / understand it.Mwigulu ni laana kwa hii Nchi
Nilikuwa nahitaji Critical Thinking kama hii yako kutokana na Akili yako Kubwa na siyo kama ya Masikini wa Akili Gunner ShooterJambo hili Lina madhara hasi zaidi kwa nchi kuliko faida.
Taasisi za Serikali ambazo zinapaswa kulaumiwa kwa kuliingiza Taifa kwenye majanga makubwa kutokana na kitendo cha kutoa kiholela Uraia wa Tanzania kwa wageni ni:-
1. Jeshi la Uhamiaji.
2. TISS.
3. Jeshi la Polisi.
Kuna hatari kubwa sana kutoa uraia kiholela kwa Watu wa nje. Hivi wanajua sababu mahsusi ambazo Rais wa Marekani Donald Trump katika awamu yake ya kwanza aliamua kuwapiga marufuku Raia wa Tanzania kupewa Viza au Uraia kwa njia ya GreenCard kwenye nchi hiyo? Wanazijua sababu zake?
Uhamiaji, TISS na Polisi wanajaribu kuweka rehani usalama wa umma wa waTanzania, ni hatari kubwa sana. Hivi ni kwa nini hasa Serikali ya Tanzania inakataa kuwaruhusu diaspora wa Tanzania kuwa na uraia pacha lakini wakati huo huo inaruhusu kiurahisi kabisa bila ya kufuata Sheria kuwapa uraia wageni ambao kamwe hawakuwahi kuwa na vinasaba kabisa na nchi ya Tanzania?
Kama hiyo yako ya Usemaji wa hiyo Klabu yako (isiyo na Ofisi) yenye Wapiga Miluzi wengi wakiongozwa nawe Mpiga Mluzi ambao hata Mshahara wako wenyewe unaupata kwa Kupiga Mluzi?Tafuta kazi ya kufanya
Tafuta kazi ya kufanyaKama hiyo yako ya Usemaji wa hiyo Klabu yako (isiyo na Ofisi) yenye Wapiga Miluzi wengi wakiongozwa nawe Mpiga Mluzi ambao hata Mshahara wako wenyewe unaupata kwa Kupiga Mluzi?
Endelea kudhani kuwa Sikujui..............sawa?
Kama hiyo yako ya Usemaji wa hiyo Klabu yako (isiyo na Ofisi) yenye Wapiga Miluzi wengi wakiongozwa nawe Mpiga Mluzi ambao hata Mshahara wako wenyewe unaupata kwa Kupiga Mluzi?Tafuta kazi ya kufanya
Matahira Tanzania wanazidi kuongezeka imagine uraia wa Tanzania unagawiwa kama njugu na wachambuzi wa Mpira wanashangiliaUHAMIAJI TANZANIA na TISS wala msiwe na wasiwasi hili Jambo ni jema mno kwa Taifa letu hivyo endeleeni tu Kulala na Kuliachia kwani litadumisha sana Utaifa na Uzalendo wetu wa Kihistoria sawa?
IQ yako hii Kubwa na huu Uchambuzi wako kamwe huwezi kuupata kwa Masikini wa Akili / Upeo Gunner Shooter na naamini hapa amejifunza Kitu japo ni Masikini bado wa Upeo /Akili.Kuna yule mchezaji wa Arsenal Mrusi ilikuja kujulikana badae ni jasusi la Urusi. Bado sisi tutakuja kushtuka tumewapa uraia majasusi ya Rwanda na Kenya. Nchi ya hovyo kabisa hii
Mkuu, huyo jamaa GENTA yupo TISS ujue?? Wee huogopi??..Tafuta kazi ya kufanya
Tafuta kazi ya kufanyaIQ yako hii Kubwa na huu Uchambuzi wako kamwe huwezi kuupata kwa Masikini wa Akili / Upeo Gunner Shooter na naamini hapa amejifunza Kitu japo ni Masikini bado wa Upeo /Akili.
Siwezi kuwa TISS na sitowahi abadan kuwa TISS.Mkuu, huyo jamaa GENTA yupo TISS ujue?? Wee huogopi??..