GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Sasa kwa huu Umasikini wako mkubwa wa Akili unadhani hata tukikuandikia uyatayo utaelewa chochote?Andikeni madhara ya hao wahamiaji bhc mbn naona porojo tu.
Kama hiyo yako ya Usemaji wa hiyo Klabu yako (isiyo na Ofisi) yenye Wapiga Miluzi wengi wakiongozwa nawe Mpiga Mluzi ambao hata Mshahara wako wenyewe unaupata kwa Kupiga Mluzi?Tafuta kazi ya kufanya
Uko sahihi 100% ila Mtetezi na Msemaji wao Gunner Shooter hawezi Kukuelewa kabisa Mkuu.Madelu na Mavundazi wa Dodoma watakuja kufa kifo kibaya sana
kuandika insha yako kama hii na kutokutoa hoja ya msingi kuhusu ulalamikaji wako na kutoa lawama kwa taasisi nyeti kama hzo bila kuwa sababu za kusema hvo, huo ni uropokaji wa maandishi mkuu. akili sina ndiyo but jiulize kwann nimeuliza swali ambalo ni zuri tu na umeshindwa kulijibu?Sasa kwa huu Umasikini wako mkubwa wa Akili unadhani hata tukikuandikia uyatayo utaelewa chochote?
Yaani Mwerevu Mimi kabisa nikufafanulie Juha Wewe?kuandika insha yako kama hii na kutokutoa hoja ya msingi kuhusu ulalamikaji wako na kutoa lawama kwa taasisi nyeti kama hzo bila kuwa sababu za kusema hvo, huo ni uropokaji wa maandishi mkuu. akili sina ndiyo but jiulize kwann nimeuliza swali ambalo ni zuri tu na umeshindwa kulijibu?
Umeamuwa kuwa mjinga si ndio,eti wewe pumbavu?Tafuta kazi ya kufanya
acha mbwembwe mkuu ndo mana wewe mwerevu unalalamikia mambo ambayo yameshapitishwa na wenzio na hayawez kubadilishwa mana hata ukiitwa ueleza xbb ya kupinga hao raia huna kazi kujisifu mara mwerevu mara nini yaani ni uhaya mtupu. NYUMBUYaani Mwerevu Mimi kabisa nikufafanulie Juha Wewe?
Usipende kubalance kila kitu. Kunasababu kwanini ni sawa wachezaji wetu kwenda kupata michongo nje ila wa mataifa jirani kuja kwetu kuwa ni risky.Yaani wachezaji wasipewe ila nyie mkienda nchi za watu kutafuta maisha mpewe uraia sio? Mnaona hao wachezaji wa singida watafaidi sana sio? Acheni wivu acha watu watafute maisha
Andikeni madhara ya hao wahamiaji bhc mbn naona porojo tu.
Waovu watapitia njia hiyo hiyo
Maadui na Mamluki wanaweza wakatumia mwanya huo huo kujipenyeza, na hata vizazi vyao pia wataweza kujipenyeza na kuweza kushika nyadhifa za juu za maaumuzi katika nchi. Then after hatari yake itaweza kujidhihirisha dhahiri kabisa.Kuna yule mchezaji wa Arsenal Mrusi ilikuja kujulikana badae ni jasusi la Urusi. Bado sisi tutakuja kushtuka tumewapa uraia majasusi ya Rwanda na Kenya. Nchi ya hovyo kabisa hii
Basi futeni hiyo sheria ya kumpa mgeni uraia, haina maana yoyote kuwa na sheria inayomruhusu mgeni kuomba uraia huku hamko tayari kuwapa uraiaUsipende kubalance kila kitu. Kunasababu kwanini ni sawa wachezaji wetu kwenda kupata michongo nje ila wa mataifa jirani kuja kwetu kuwa ni risky.
ndo mana na mm nashangaaBasi futeni hiyo sheria ya kumpa mgeni uraia, haina maana yoyote kuwa na sheria inayomruhusu mgeni kuomba uraia huku hamko tayari kuwapa uraia
Ndicho nachokiona pia lakini hapa kwetu hilo sio geni wapo viongozi sio wazawa wa hapa.Maadui na Mamluki wanaweza wakatumia mwanya huo huo kujipenyeza, na hata vizazi vyao pia wataweza kujipenyeza na kuweza kushika nyadhifa za juu za maaumuzi katika nchi. Then after hatari yake itaweza kujidhihirisha dhahiri kabisa.
Wakili Madelea wakati fulani aliwahi kutoa taarifa moja hivi kuhusiana na kigogo mmoja hivi huko ndani ya Jeshi la Uhamiaji
Matokea yanasema nani ni mkali?Habari ya mjini ni Ems vs Kayumba Schools