Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina buanaNawewe jazia jazia tupicha twake tuwili hata!
Anajishugulisha na nini?
Mdanģaji huyoAnajishugulisha na nini?
Biashara gani labda Ana kiwanda nk
Maana anaonekana tajiri
Ova
Mleta uzi iyo kichwa yako haipo sawa kwa kweliJarida kubwa huko Nigeria limemtaja Tuerny kama mwanamke mwenye mvuto zaidi nchini Tanzania na kwa africa akiwa namba 7 yaani yupo top 10. Hivo kwa sasa mrembo mwenye mvuto na muonekano wake TZ kwa sasa ni Tuerny hilo halina ubishi ukibisha utakuwa mchawi! Tuerny ana masters ya Accounting pamoja na CPA alipata huko oxford UINGEREZA. Vigezo vilivotumika ni elimu, umbo la sura, umbo la mwili, assets alizonazo na demand ya soko kwa sasa! N.B tuerny ana miliki kampuni ya madini akishirikiana na wasouth africa wawili, pia anajishughulisha na stock market! Anamiliki nyumba 3 moja ikiwa masaki dar. Pia ni philanthropist mzuri akiwa ameshatoa misaada ya takribani milioni 500 za kitanzania! Hana shida ndogo ndogo!
View attachment 2194947
View attachment 2194948
View attachment 2194949
Maana nawajua pisi kali ambao wanamiliki viwanda wengine mabwabwa ya samaki mradi wa kufuga..Mdanģaji huyo
Mmmmmh pornNimemtizama kimwana hafiki hata robo ya uwezo wa AVERY JANE achilia mbali homa ya dunia MORIAH MILLS....hahaha!
Mdangaji huyo mdau hadi davido kabutua hapo na mtu wa mwisho maarufu kupiga ni s2kizMaana nawajua pisi kali ambao wanamiliki viwanda wengine mabwabwa ya samaki mradi wa kufuga..
Tena syo biashara za kusema mtandaoni nmeona physical
Ila inawezekena hyu tuerny akawa bilionea naye huwez jua
Ova
HaMmmmmh porn
Hapana Sema Proffesional Actress: Dunia imevaa koti Haipambiki bila noti,;Gangwe mob ft MR Paul-Tatizo noti...Inspector haroun babu anasema "Kazi ni kazi vibaya kuiba,Kazi ya ukuli safiii,Kazi ya kuzibua mifereji ya mavi safi sana,Hata wale wa antichee-samaki wa bichi-bonge dagaa wa bichi-njegere-njegere mbichi,Usiwacheke wapo kazini Bwana,Muache dharau na lugha chafuu watu wanaishi kwa kuuza madafu-TATIZO NOTI"Mmmmmh porn