Tuerny atajwa kama mwanamke mwenye mvuto zaidi Tanzania!

Tuerny atajwa kama mwanamke mwenye mvuto zaidi Tanzania!

Screenshot_20220808-125648.jpg
 
Jarida kubwa huko Nigeria limemtaja Tuerny kama mwanamke mwenye mvuto zaidi nchini Tanzania na kwa africa akiwa namba 7 yaani yupo top 10. Hivo kwa sasa mrembo mwenye mvuto na muonekano wake TZ kwa sasa ni Tuerny hilo halina ubishi ukibisha utakuwa mchawi! Tuerny ana masters ya Accounting pamoja na CPA alipata huko oxford UINGEREZA. Vigezo vilivotumika ni elimu, umbo la sura, umbo la mwili, assets alizonazo na demand ya soko kwa sasa! N.B tuerny ana miliki kampuni ya madini akishirikiana na wasouth africa wawili, pia anajishughulisha na stock market! Anamiliki nyumba 3 moja ikiwa masaki dar. Pia ni philanthropist mzuri akiwa ameshatoa misaada ya takribani milioni 500 za kitanzania! Hana shida ndogo ndogo!

View attachment 2194947

View attachment 2194948

View attachment 2194949
Mleta uzi iyo kichwa yako haipo sawa kwa kweli
 
Mdanģaji huyo
Maana nawajua pisi kali ambao wanamiliki viwanda wengine mabwabwa ya samaki mradi wa kufuga..
Tena syo biashara za kusema mtandaoni nmeona physical
Ila inawezekena hyu tuerny akawa bilionea naye huwez jua

Ova
 
Mabwabwa ya samaki 😂🙌
 
Sasa hivi kuna vita huko Twitter wanaijeria wameamka na matusi ya kiingereza.Wabongo hajakaa chini. Watstuelewa na hii broken yetu maamae zao
 
Nimemtizama kimwana hafiki hata robo ya uwezo wa AVERY JANE achilia mbali homa ya dunia MORIAH MILLS....hahaha!
 
Maana nawajua pisi kali ambao wanamiliki viwanda wengine mabwabwa ya samaki mradi wa kufuga..
Tena syo biashara za kusema mtandaoni nmeona physical
Ila inawezekena hyu tuerny akawa bilionea naye huwez jua

Ova
Mdangaji huyo mdau hadi davido kabutua hapo na mtu wa mwisho maarufu kupiga ni s2kiz
 
Mmmmmh porn
Ha
Mmmmmh porn
Hapana Sema Proffesional Actress: Dunia imevaa koti Haipambiki bila noti,;Gangwe mob ft MR Paul-Tatizo noti...Inspector haroun babu anasema "Kazi ni kazi vibaya kuiba,Kazi ya ukuli safiii,Kazi ya kuzibua mifereji ya mavi safi sana,Hata wale wa antichee-samaki wa bichi-bonge dagaa wa bichi-njegere-njegere mbichi,Usiwacheke wapo kazini Bwana,Muache dharau na lugha chafuu watu wanaishi kwa kuuza madafu-TATIZO NOTI"
 
Back
Top Bottom