Tuerny atajwa kama mwanamke mwenye mvuto zaidi Tanzania!

Tuerny atajwa kama mwanamke mwenye mvuto zaidi Tanzania!

Hizi threads za wadangaji zimekuwa nyingi siku hizi za karibuni,mara fulani ana mvuto mara pisi kali au ndio madalali mmehamia na huku JF kupromote malaya wenu kwani kazi zao hao wanawake hapa mjini tunazijua.
 
Sio kila mwanamke mrembo wa mjini umuite mdangaji amekuzidi kwa pesa mbali sana!
 
Kwani humu JF tuaweka acc zetu za bank au hati za nyumba au kadi za magari kujua nina kiasi gani. Labda kama anakuzidi ww sawa ila sio mimi, ila humo hamna kitu kwani huyo ni malaya na mdangaji wa mjini.
Mkuu kafuatilie vizuri ndio utajua Tuerny is damn rich!
 
Back
Top Bottom