Tuerny atajwa kama mwanamke mwenye mvuto zaidi Tanzania!

Hizo kura alipiga nani? What was the sample size? Halafu kujiweka uchi uchi ndio mvuto?? Bure kabisa huyu haingii hata kidogo kwa aisha kidawa wangu wa kigamboni ambae mtaa wenye watu zaidi ya 400 wote wanamkubali
 
Huyu nae akidafanga atarudi mavumbini au ana sehem yake maalumu tofauti na sisi?
 
Hizo kura alipiga nani? What was the sample size? Halafu kujiweka uchi uchi ndio mvuto?? Bure kabisa huyu haingii hata kidogo kwa aisha kidawa wangu wa kigamboni ambae mtaa wenye watu zaidi ya 400 wote wanamkubali
Hahaha ni jarida kubwa sana kama vile vogue na esquire magazine n.k
 
Amesoma ndio oxford UINGEREZA au roho inakuuma juu ya elimu yake!
 
Siwafuatili malaya ukiona mtu na mfuatilia mara nyingi ana ni-inspire au role model katika field yangu.
Ila we mkuu huwa nakuonaga msomi unashindwa kutambua wasomi wenzako kama kina Tuerny!
 
Huyo Mrs Van anawivu sana we angalia hata post zake kwenye threads nyingine aliwahi kusema jojo hajasoma!
 
Amesoma ndio oxford UINGEREZA au roho inakuuma juu ya elimu yake!
itakua ni wewe
Weka mawasiliano watu wakufikie

Ila kwa urembo Bado Sana Kuna wengi tu wamekuzidi

Kwanza hakunaga mrembo mfupi, kingine kichwa kimekua kikubwa kuliko mwili, filter zimesaidia uonekane, lipsi hazieleweki, Hilo Tako ni gumu balaa (mabaharia tunaelewa )
Ukibisha nitakuchambua zaidi
 
Vp wewe taco lako ni laini?
 
Back
Top Bottom