joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Nimuonee Wivu malaya ili iweje tatizo lako hatembei, ila sisi kazi zetu za kushinda site huyo demu wa kawaida nishazunguka sana Tanzania, hicho kwangu ni kituko.Mkuu wivu utakuua kisa huna demu mkali kama yeye!