Tuerny atajwa kama mwanamke mwenye mvuto zaidi Tanzania!

Hiyo MASTERS haina kipengele cha kumfundisha kuusitiri mwili wake?
 
Hakunaga msomi wa hivyo we chawa acha ujunga ibia ronja
 
Hilo Jarida linawajua watoto wa Kibongo kweli?
Huyo wakawaida sana anashindwa hata na Mchepuko wangu mwanafunzi Pale Mlimani(UDSM)
 
diamond hajamuona
huyu binti bado?
 
Duuuu....! Basi sawa!
 
Vigezo vilivotumika ni elimu, umbo la sura, umbo la mwili, assets alizonazo na demand ya soko kwa sasa!
Kwa hizi picha za uchi anazopiga nakubaliana na wewe kuwa atakuwa na demand kubwa sana sokoni!
 
Vigezo vilivotumika ni elimu, umbo la sura, umbo la mwili, assets alizonazo na demand ya soko kwa sasa!
Kwa hizi picha za uchi anazopiga nakubaliana na wewe kuwa atakuwa na demand kubwa sana sokoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…