Tuerny atajwa kama mwanamke mwenye mvuto zaidi Tanzania!

Kwa hizi picha za uchi anazopiga nakubaliana na wewe kuwa atakuwa na demand kubwa sana sokoni!
Hizo ni picha tuu mkuu! Ukikutana naye live unaeza dhani ni malaika kashushwa!
 
Jarida kubwa huko Nigeria limemtaja Tuerny kama mwanamke mwenye mvuto zaidi nchini Tanzania na kwa africa akiwa namba 7 yaani yupo top 10. Hivo kwa sasa mrembo mwenye mvuto na muonekano wake TZ kwa sasa ni Tuerny hilo halina ubishi ukibisha utakuwa mchawi! Tuerny ana masters ya Accounting pamoja na CPA alipata huko oxford UINGEREZA. Vigezo vilivotumika ni elimu, umbo la sura, umbo la mwili, assets alizonazo na demand ya soko kwa sasa! N.B tuerny ana miliki kampuni ya madini akishirikiana na wasouth africa wawili, pia anajishughulisha na stock market! Anamiliki nyumba 3 moja ikiwa masaki dar. Pia ni philanthropist mzuri akiwa ameshatoa misaada ya takribani milioni 500 za kitanzania! Hana shida ndogo ndogo!

View attachment 2194947

View attachment 2194948

View attachment 2194949
Namba yake ya simu.
 
Shubhamit!
Hii nchi uhuru umezidi sasa, mpaka wanaijeria wanaingilia kazi za shigongo.

Huyo Tuerny ndo mdudu gani kwanza hata hatumfahamu,

Kama ndo huyo anayeoonekana pichani basi bora hata Yule demu wa bukoba anayeigiza vichekesho na kina mkali wenu sijui wanamuita Ebitoke
 
Jarida kubwa huko Nigeria limemtaja Tuerny kama mwanamke mwenye mvuto zaidi nchini Tanzania na kwa africa akiwa namba 7 yaani yupo top 10. Hivo kwa sasa mrembo mwenye mvuto na muonekano wake TZ kwa sasa ni Tuerny hilo halina ubishi ukibisha utakuwa mchawi! Tuerny ana masters ya Accounting pamoja na CPA alipata huko oxford UINGEREZA. Vigezo vilivotumika ni elimu, umbo la sura, umbo la mwili, assets alizonazo na demand ya soko kwa sasa! N.B tuerny ana miliki kampuni ya madini akishirikiana na wasouth africa wawili, pia anajishughulisha na stock market! Anamiliki nyumba 3 moja ikiwa masaki dar. Pia ni philanthropist mzuri akiwa ameshatoa misaada ya takribani milioni 500 za kitanzania! Hana shida ndogo ndogo!

View attachment 2194947

View attachment 2194948

View attachment 2194949
Link ya hilo jarida tafadhali..
 
Hongera Tuerny kwa kujipigia promo, haya tumekuoana. Insta unatumia jina gani
 
TUMEPIGWAAAAAAAAAAAAAAA
 
188863121_2610455912592023_2864751763243831871_n.jpg
 
Back
Top Bottom