Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini unatafuta majina ya watu wakati wewe hujatoa jina lako kamili?Habari wanajamvi hebu tusalimiane na kufahamiana kidogo tukiumalizia huu mwaka... mfano: habari! naitwa James.. anayefuata..habari James naitwa Husein.. anayefuata.. habari husein naitwa Fadhila.. tuendeleze hivyo hivyo kwa mtiririko huo huo.
Wazo zuri.Kwa kutia nyama uzi ingependeza zaidi tufahamiane kwa majina yetu halisi,miaka,sehemu tulipo ila ziwe za ukweli wana ndugu,marital status,Sex,Age na kadhalika.
Karibun wadau twende kazi.
Habari Aneth, naitwa Abdallah, maarufu kama Dulla Mbabe.Habar naitwa Aneth Rodriguez
Naishi mwanza pasiansiASANTE kukufaham aneth !mie anishi shyinyanga didia wewe je
Asante dulla mi.naishi mwanzaHabari Aneth, naitwa Abdallah, maarufu kama Dulla Mbabe.
Naishi Mwananyamala kwa Manjunju.
Nafurahi kukufahamu.Asante dulla mi.naishi mwanza
Habari Basileke mimi naitwa NazaretiHahaaa asante mimi naitwa Basileke
Wew utakuwa mnyaki bila shakahabari naitwa TUTINDAGA
Habari Basileke mimi naitwa Nazareti
tukuyu productWew utakuwa mnyaki bila shaka
Naitwa Mwaitombile Mwaikumani Mwakanjaa
Mkuu ban itakuhusu,Naitwa Mwaitombile Mwaikumani Mwakanjaa