Tufahamiane kabla ya kumaliza mwaka 2017

Tufahamiane kabla ya kumaliza mwaka 2017

Habari wanajamvi hebu tusalimiane na kufahamiana kidogo tukiumalizia huu mwaka... mfano: habari! naitwa James.. anayefuata..habari James naitwa Husein.. anayefuata.. habari husein naitwa Fadhila.. tuendeleze hivyo hivyo kwa mtiririko huo huo.
Kwa nini unatafuta majina ya watu wakati wewe hujatoa jina lako kamili?
Acha kutumia style butu.
Weka jina lako kamili, namba yako ya simu na email yako.
Na wenzio watakaofuata huo mkumbo mtakuwa mmefahamiana vizuri.
 
Kwa kutia nyama uzi ingependeza zaidi tufahamiane kwa majina yetu halisi,miaka,sehemu tulipo ila ziwe za ukweli wana ndugu,marital status,Sex,Age na kadhalika.

Karibun wadau twende kazi.
Wazo zuri.
Hebu anza kwa kuweka data zako hapa tafadhali.
 
Back
Top Bottom