Inaenda ngapi mpaka barabarani mkuu kama hutojali???
Inategemea umenunua wapi na condition of the car (grade). Binafsi nilishaacha kununua kwa haya makampun kama sbt, beforward, trust, real motor, etc. Mm huwa nanunua gari moja kwa moja kutoka japanese auction house (huku ndiko ambako makampun yote haya yanayo import magar hapa Tanzania huwa wananunua magar kwa bei ya chin then wanatuuzia wa bei ya juu).
Hivyo basi mimi yangu niliyonunua mnadani Japan imenighalimu milion 28 za kitanzania hadi inatembea barabaran. Kumbuka hii gari grade yake ni 4.5 (meaning it is as new as the brand new one), condition yake ya ndan na nje ni B. Sorry sina muda wa kukufafanulia mambo ya grade but ni MUHIMU SANA.
Angalizo :
Husiwe mwepesi sana kushawishika na bei za chini unazoziona kwenye magar yanayouzwa kwa makampun mengi haya ambao wengi wetu tunanunua. Ni kwamba most of the Japanese used cars have some faults tayar ila zinatofautiana.
Hivyo kampuni inaweza nunua gari mnadani ambayo inashida fulan kwa bei ya chini (kumbuka kule mnadani taarifa zote za gari zinakuwa wazi) then wanakuja wanakuuzia wa bei ya chini then ukinunua hiyo gari ndio utajikuta kila siku mala check engine light, mala airmass floor sensor mala oxygen sensor.
Ninasema hivi kwan x3 ni bmw ya pili kumiliki, nilishanunuaga bmw 5 serious kwa hizi kampun za magar zinazoimport hapa Tanzania, nilijuta ndugu zangu. Kila siku ilikuwa kwa fundi.
Sorry uandishi hauko sawa kwan I'm on my foot heading to gym