Tufahamishane upatikanaji Wa Spare Parts za BMW

Tufahamishane upatikanaji Wa Spare Parts za BMW

Spares zipo nyingi tu. Ukinunua nitafute. Hata ukitaka ushauri ununue ipi niulize. Kwa kifupi
1.Ukitaka X5 nunua E70 3.0Si hizi ni kuanzia 2007-
2.Ukitaka 3 Series nunua E90 320i hizi zilianzia 2006-
3.Ukitaka 5Series nunue E60 523i kuanzia 2005- ingawa zilianzia 2003
4.Ukitaka X3 nunua kuanzia 2007 2.5Si

Hizo zote ni Petrol engine ni cheaper to maintain than Diesel engine.
Rafiki uliposema ukitaka X3 anunue ya kuanzia 2007 2.5si nimefurahi sana maana nimenunua x3 ya 2007 2.5si, gari ni nzuri saaaaaaaana, nyeusiiiiiiii. Engine yake iko tofauti za zile x3 za miaka ya nyuma, haijawah kuniwashia check engine light.
 
Inaenda ngapi mpaka barabarani mkuu kama hutojali???
 
Inaenda ngapi mpaka barabarani mkuu kama hutojali???
Inategemea umenunua wapi na condition of the car (grade). Binafsi nilishaacha kununua kwa haya makampun kama sbt, beforward, trust, real motor, etc. Mm huwa nanunua gari moja kwa moja kutoka japanese auction house (huku ndiko ambako makampun yote haya yanayo import magar hapa Tanzania huwa wananunua magar kwa bei ya chin then wanatuuzia wa bei ya juu).

Hivyo basi mimi yangu niliyonunua mnadani Japan imenighalimu milion 28 za kitanzania hadi inatembea barabaran. Kumbuka hii gari grade yake ni 4.5 (meaning it is as new as the brand new one), condition yake ya ndan na nje ni B. Sorry sina muda wa kukufafanulia mambo ya grade but ni MUHIMU SANA.

Angalizo :
Husiwe mwepesi sana kushawishika na bei za chini unazoziona kwenye magar yanayouzwa kwa makampun mengi haya ambao wengi wetu tunanunua. Ni kwamba most of the Japanese used cars have some faults tayar ila zinatofautiana.

Hivyo kampuni inaweza nunua gari mnadani ambayo inashida fulan kwa bei ya chini (kumbuka kule mnadani taarifa zote za gari zinakuwa wazi) then wanakuja wanakuuzia wa bei ya chini then ukinunua hiyo gari ndio utajikuta kila siku mala check engine light, mala airmass floor sensor mala oxygen sensor.

Ninasema hivi kwan x3 ni bmw ya pili kumiliki, nilishanunuaga bmw 5 serious kwa hizi kampun za magar zinazoimport hapa Tanzania, nilijuta ndugu zangu. Kila siku ilikuwa kwa fundi.

Sorry uandishi hauko sawa kwan I'm on my foot heading to gym
 
Inategemea umenunua wapi na condition of the car (grade). Binafsi nilishaacha kununua kwa haya makampun kama sbt, beforward, trust, real motor, etc. Mm huwa nanunua gari moja kwa moja kutoka japanese auction house (huku ndiko ambako makampun yote haya yanayo import magar hapa Tanzania huwa wananunua magar kwa bei ya chin then wanatuuzia wa bei ya juu)...
Mkuu ungetusaidia utaraibu wa kununua kwenye auction house unazosema...kama kuna website utupatie itakuwa masaada sana.
 
Mkuu ungetusaidia utaraibu wa kununua kwenye auction house unazosema...kama kuna website utupatie itakuwa masaada sana.
I have a friend in Japan who does everything for me, kumbuka taarifa za gari kwenye auction sheet zinakuwa zimeandikwa kwa kijapan hivyo kuzitafasir zinahitaj mtu anayejua kijapan. But if you insist I can give you the name of the site where you can register and begin to bid
 
  • Thanks
Reactions: rmo

Asante sana kwa taarifa. Kwa sasa hapana ila nikiwa tayari nitaomba msaada wako.
 
BMW (Bavarian Motor Works).
BMW (Black Man's Wish).

Nimeipenda hii gari tangu ningali mtoto mdogo sana, i believe one day dreams will come into a reality.
 
BMW (Bavarian Motor Works).
BMW (Black Man's Wish).

Nimeipenda hii gari tangu ningali mtoto mdogo sana, i believe one day dreams will come into a reality.
BMW(BLOW MA MONEY)
BMW(BABA MAMA WATOTO)

Enjoy the ride.
 
Hizo BMW zipo manual au zote ni automatic tu???
 
Natamani sana X3 ya 2007 ila ndio matisho ya spares mtaani. Tupumzike suv za mjapan
 
Kama ni first car, yaani hujawahi miliki before, me nashauri ungeanza na Toyo tu.

Pia, kama pesa kwaajili ya Service and Maintanance na Running ni ya kuunga pia ungeanza na Toyo kwanza...
So mtu haruhusiwi kumiliki European make kama first car?
 
Chukua Audi A4 B7 za mwaka 2004 hadi 2008. Machaguo mengi kuanzia 1.6L 1.8L hadi 2.0L na Turbo zipo.

Mkuu shape ya B7 za miaka hiyo tamu sana cheki sample hii. Usinunue za nyuma ya 2004 zimekaa kishamba hazina facelift flani.
3dcc936c3aa54334f1b3a7309835684b.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivii mkuu shape ya B7 na B8 ipi kali zaidi???
Yani naonaga kama B7 inaifunika B8 kwa shape....sema A4 B7 interior imekaa kizamani sana...
yanii sema VW Passat kwenye interior hawakoseagi
 
I have a friend in Japan who does everything for me, kumbuka taarifa za gari kwenye auction sheet zinakuwa zimeandikwa kwa kijapan hivyo kuzitafasir zinahitaj mtu anayejua kijapan. But if you insist I can give you the name of the site where you can register and begin to bid
Mkuu tafadhali naomba name ya hii site kama hutojali.
 
Kuna mtu kauza juzi kama hio ina namba A.... zama za watu kuogopa magari zimeisha unless uwe na 1990s mentality.
Ok mkuu. SUV Nissan kwa hela ya kuunga unga ipi unanifaa?
 
Back
Top Bottom