Tufanye Check-Up Mara kwa Mara

Kwa hio mkuu wa kaya alifanyiwa hicho kipimo?
 
nna swali .. PastorPetro
hii kitu ina sababishwa na nini hadi inamtokea mtu, mfano kama mheshimiwa wetu huyo?

Mwanaume yeyote anaweza kuumwa. Ila kuna genetic factors, yaani umerithi nini kutoka kwa wazazi wako. Kama ndugu zako waliugua huenda na wewe utaugua pia. Lakini zamani tulikuwa tunsema mtu kalogwa bila kujua anaumwa nini hasa.:A S-omg:
 
naona wale jamaaa zetu siwaoni hapa wazee wa kupinga kila kitu
njooni mchangie basi
 
Mwanaume yeyote anaweza kuumwa. Ila kuna genetic factors, yaani umerithi nini kutoka kwa wazazi wako. Kama ndugu zako waliugua huenda na wewe utaugua pia. Lakini zamani tulikuwa tunsema mtu kalogwa bila kujua anaumwa nini hasa.:A S-omg:

asante sana kwa majibu yako ya kitaalammm
 
Pamoja na maelezo na ushauri mzuri wa mleta mada,hoja je ni kweli hakuna vipimo vingine zaidi ya kutiana vidole.?

Kutiwa kidole kwenye Anus ni kipimo cha awali. Baada ya hapo ndo inakuja testi zingine kama kupima damu,Ultrasound na Biopsy.

Digital Rectal Examination for Prostate Problems
A digital rectal exam is an early, simple test to screen for prostate cancer. It can catch the disease early, when it's most treatable.


Prostate-Specific Antigen Blood Test: Diagnosing Prostate Cancer
When the results of this blood test are high, it may indicate cancer.


Prostate Ultrasound and Biopsy to Diagnose Prostate Cancer

After an abnormal digital rectal exam or a high PSA your doctor may suggest a closer look. :couch2::couch2:
 
Heee....!! Hili zito la mwaka, huumwi then uende hospitali umwambie dokta akupime prostate duuh!!

Dalili za ushoga maana utapigwa finga kila mwaka teh teh teh

teh teh kwahyo utajikuta umezoea kupgwa finga daah!
 

Kwa niaba ya mtoa mada nitajibu maswali yako hapo juu.
1. Kwanza ugonjwa wenyewe unaitwa BENIGN PROSTATIC HYPERPLASIA (BPH),i.e. an enlargement of the prostate gland (kuvimba au kuongezeka kwa tezi ya kibofu.
-Sababu (causes) mara nyingi haijulikani,ingawa unawezakusababishwa na mabadiliko ya homoni (androgens) inayoenda sambamba na utu uzima (hasa kati ya miaka 50+...)

2. Dalili anazowezakuzipata mgonjwa:
-Urine retention (kushindwa kukojoa) sababu uvimbe huwa unaziba njia ya mkojo
-Nocturia (kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku)
-Kuhisi kama mkojo haujaisha kwenye kibofu baada ya kujisaidia (sensation that the bladder has not completed emptied).
-Anaweza kupata U.T.I sababu ya urine stasis
-Anaweza kupata hata hydronephrosis (Matatizo ya figo) n.k
Hizo ni baadhi ya dalili ambazo ni common,lakini kwakweli zipo nyingi.

3.Sasa madhala kama mtu akizembea ni pamoja na hilo nilisema hapo juu,yaani Hydronephrosis.
-Mengine ni kama uharibifu (damage) wa kibofu cha mkojo,muscles zinalegea hata kushindwa ku-control flow ya mkojo kutokana na pressure inayoongezeka kwa sababu ya mkojo kushindwa kutoka.
-U.T.I n.k

Nadhani umenielewa kidogo mkuu.
 

Ni muhimu kufanya medical check kila kipindi fulani. Lakini hii kitu ni ghali kwa mtanzania wa kawaida. Kampuni za bima za afya ni vyema zikawa zatoa huduma tajwa kwa wateja wao hasa wale wasiotembelea hospitali mara kwa mara.
 
Kwa hio mkuu wa kaya alifanyiwa hicho kipimo?
Kipimo hicho hakiepukiki unapopata shida kama hiyo.
Vipimo vingine ni nyongeza tu,kama vile Urinalysis,Renal function tests,Complete blood studies hasa PSA,Ultrasound n.k.
 
Hii ni kampeni ya ushoga tu sio bure pastor mzima unaleta mada kama hii? utakuwa unalipwa wewe.
 
Tuombe mungu prof kafanyiwa sisi tuepukane nayo
 
Mleta mada inavyotushauri tufanye checkup mara kwa mara ina maana mkuu alikua hafanyi hiyo checkup mara kwa mara.

Na kama alikua anafanya imesaidia nini kuepusha upasuaji, maana naona mwenye checkup na asiefanya mwisho wa siku matibabu ni yaleyale yaanii wote upasuaji tu.
 

siyo kidogo mkuu nime elewa sana tu, ila swali lingine dogo, mkuu sasa ugonjwa huo unatofauti gani na mabusha kwa wanaume kuvimba (..........) au tofauti?
 
Hii ni kampeni ya ushoga tu sio bure pastor mzima unaleta mada kama hii? utakuwa unalipwa wewe.


Hakuna aliyenilipa kuposti kitu hapa. Ninawajali sana watanzania wenzangu. Nasikitika kuwa watu wanaugua na kufa kwa sababu wanaogopa kufuatilia afya zao. Mwenyezi mungu akubariki.
 
Hata wewe Unaweza kufanyiwa kafanye checkup mara moja kabla kidole hakijakuhusu.

sasa nijipeleke tu mwenyewe wakati kuna kidole? acha niumwe tu! labda Bhanunu anaweza kujipeleka mwenyewe kupimwa kiroho safi.
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka kujiwa ustaarab wa jamii fulani basi fuatilia mijadala yao. Hii mada imevuka mipaka na kukosa ustaarab kabisa.

MODs, Mhariri tafadhali naomba muifute.

Huu ni ujinga unaleta hapa, hujawahi kuumwa wewe ndio umeshindwa kumuelewa mldta mada.

Watanzania tuna safari ndefu sana ya kujitambuwa. Wake zenu kila siku wanafunuliwa mipuss yao na madaktari wa Muhimbili, ndio maana Rais kaona heri akafanyiwe Marekani kwa akili ndogo kama hizi.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna aliyenilipa kuposti kitu hapa. Ninawajali sana watanzania wenzangu. Nasikitika kuwa watu wanaugua na kufa kwa sababu wanaogopa kufuatilia afya zao. Mwenyezi mungu akubariki.
kweli unatujali mkuu endelea kutupa data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…