Huu ni ujinga unaleta hapa, hujawahi kuumwa wewe ndio umeshindwa kumuelewa mldta mada.
Watanzania tuna safari ndefu sana ya kujitambuwa. Wake zenu kila siku wanafunuliwa mipuss yao na madaktari wa Muhimbili, ndio maana Rais kaona heri akafanyiwe Marekani kwa akili ndogo kama hizi.
Mkuu naona umeifurahia sana mada, wewe na mtoa mada huwa mnafanya chekups za namna hiyo mara kwa mara
Mkuu naona umeifurahia sana mada, wewe na mtoa mada huwa mnafanya chekups za namna hiyo mara kwa mara
View attachment 200906 Sekundi chache za kupima Prostate zinaweza kuokoa maisha yako!
Mods kuachia mada ya namna hii ni kumkosea heshima rais wetu! Mnashiriki kumdhalilisha kiongozi wa nchi. Mtoa mada anastahili kushtakiwa kwa kumdhalilisha rais!
View attachment 200906 Sekundi chache za kupima Prostate zinaweza kuokoa maisha yako!
namuona dokta nyuma anaweka mafuta kidoleni mwake kabisa ayaaaaaView attachment 200906 Sekundi chache za kupima Prostate zinaweza kuokoa maisha yako!
Kichwa majiAisei, nia yangu si kumdhalilisha Rais. Nia yangu ni kuokoa maisha yenu. Prostate Cancer inatibika ukiiwahi. Lakini utajuaje kama unayo au huna kama huendi kupima? :sick:Mungu akubariki.
Hii nchi ya ovyo kweli.Mods kuachia mada ya namna hii ni kumkosea heshima rais wetu! Mnashiriki kumdhalilisha kiongozi wa nchi. Mtoa mada anastahili kushtakiwa kwa kumdhalilisha rais!
siyo kidogo mkuu nime elewa sana tu, ila swali lingine dogo, mkuu sasa ugonjwa huo unatofauti gani na mabusha kwa wanaume kuvimba (..........) au tofauti?
Huu ni ujinga unaleta hapa, hujawahi kuumwa wewe ndio umeshindwa kumuelewa mldta mada.
Watanzania tuna safari ndefu sana ya kujitambuwa. Wake zenu kila siku wanafunuliwa mipuss yao na madaktari wa Muhimbili, ndio maana Rais kaona heri akafanyiwe Marekani kwa akili ndogo kama hizi.
Ngoja nimsaidie kidogo mtoa mada, ukifanyiwa checkup mara kwa mara ni vizuri kwa sababu ukikutwa nayo utatolewa na utaendelea vizuri sana na maisha yako. Ukijagundulika unayo na imeshakuwa kubwa mara nyingi hugeuka kuwa cancer kwa sababu hutolewa( biopys ) sijui kama nimeandika sawa wataalam watanisaidia ili ipimwe kama imefika stage gani wajue utapewa matibabu gani kama stage ni mbaya utaishia ocean road na kwa kuwa itakuwa imeguswa ndio balaa kubwa kifo kinakuhusu tena cha maumivu sana. Nimeshauguza mgonjwa wa hiyo kitu alichelewa bila kujua tatizo la ugonjwa alimripotia dokta wake mara kwa mara ishu ya mkojo kutoka mara kwa mara, lakini dokta akamwambia ni kwa sababu unatumia dawa za moyo, mwisho anakuja kumpima anamwambia umechelewa imekuwa kubwa, kwa matatizo aliyoyapata kifo cha maumivu alichokufa, nisingependa kuona mwanaume mwingine anapitia hayo maumivu, nawaomba wanaume kapimeni tu kwani kidole kina shida gani? Maana hili gonjwa sikia tu cancer inakufanya ukojoe kwa kutumia mpira na ni damu inatoka kuchanganyika na mkojo, acheni hapa naandika nasikia uchungu si ya kuyashudia. Labda mtu aende ocean road kutembelea wagonjwa akute wa ugonjwa huu ataelewa na ataenda kuinama mwenyewe.Mleta mada inavyotushauri tufanye checkup mara kwa mara ina maana mkuu alikua hafanyi hiyo checkup mara kwa mara.
Na kama alikua anafanya imesaidia nini kuepusha upasuaji, maana naona mwenye checkup na asiefanya mwisho wa siku matibabu ni yaleyale yaanii wote upasuaji tu.