Tufanye Check-Up Mara kwa Mara


Ungekuwa mwl wangu wa science bila shaka ningeelewa na kuipenda. Hitimisho linadhihilisha how good you are.
 
hahahahaaa huuu upimaji huuu heri anielekeze nijipime wmenyewe tu aiseee, MUNGU aepushie mbali, Pole Profesa Kikwete yaani pamoja na uprofesa wake aaaaaaa
mkuu vp umeona upimaji huo.....
 
.
sorry,mm sijaelewa hapa.....akiingiza then ukohoe......hapa doctor anatafuta nn.....uvimbe au kama kunakuwa na maumivu au inakuwaje.......plz
 
Thank you sir , but you know eenhe sisi kimila hiyo hairuhusiwi , Ha! Ha! Ha! Haaaa!
 
Pokea salute mkuu .
 
.
sorry,mm sijaelewa hapa.....akiingiza then ukohoe......hapa doctor anatafuta nn.....uvimbe au kama kunakuwa na maumivu au inakuwaje.......plz

maswali yako ya msingi sana. Kwani kuna uhusiano gani wa ugonjwa huo na kuingizwa kidole? Hawa ndo aina ya madaktari ambao humpima mtu kwa kumpapasa
 

ahsante sana Mkuu. Umeeleza vema. Mada hii imeletwa kwa sababu maalum
 

Watu kwa kujidai kujua... Ni hivii DRE kwa prostate haina mbadala ni lazima upigwe kidole kwanza ndiposa hizo PSA na mengineyo yafuatie.. Na hii sio ushabiki ni fact nakupa , tatizo menu mnachukulia kama kitu cha ajabu sana kwa madaktari hiyo DRE ni kipimo kama kipimo kingine tu
 
ahsante sana Mkuu. Umeeleza vema. Mada hii imeletwa kwa sababu maalum

Ndiyo, mada imeletwa kwa sababu maalum - kwamba hili tatizo limemtokea VIP, tena mkulu. Kama mkulu angekuwa na wasahauri wazuri wangemshauri awe balozi mkuu katika kampeni ya kuwahamasisha wanaume wa 50+ kupima (bila kuogopa DOLE - maana aliepukiki lakini linaokoa maisha). Mkulu angehakikisha katika kipindi chake kilichobaki cha mwaka mmoja kinawekwa kitengo maalum pale muhimbili kikiwa well equiped na vyombo na wataalamu kuhakikisha huduma bora inapatika hapa hapa kwa wanaume wote. In fact, ningekuwa yeye, ningeachana na kupigania katiba chakachuzi na kuvalia njuga kampeni ya kupima na kutibiwa kwa tatizo hili. Hii ingekuwa legacy ya kweli badala ya katiba chakachuzi. Lakini washauri wake kama ndio nyie akina msalani, basi mtabakia na fikira mgando kama hizi.
 
Hivi hii Topic inamaanisha kua ili kutoa hiyo kitu lazima upimwe Oil? CC PastorPetro
 
Mimi nadhani wanaume tumebahatika kuwa tunapimwa kwa kidole kwenye Anus tu. Sasa fikiria akina mama, Daktari anaigiza vidole au mkono huko kucheki kizazi. Pia wanakatwa kipande cha kizazi kila mwaka, yaani Pap Smear ili kuona kama wana kansa! Ukitaka afya bora basi mambo ndo hayo!

Mungu awabariki! 😛eace:
 
Sasa kama kupima Prostate ni Taboo, basi tutakufa kwa wingi! Wengi wamekwisha kufa shauri ya ignorance. Eti bora 'nife kulikoni nichekiwa Prostate kwa finga'. Njia rahisi kupima ni hiyo ya kidole. au wanaona bora kusema wamelogwa. Mimi nataka kuona wajukuu wangu, na wanaume wengi wanatake kuona wajukuu na watukuu wao. Tuondokane na taboo za hapo zamani za kale. Ni mwaka 2014 sasa. Mungu awabariki.:first:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…