Tufanye kazi pamoja

Tufanye kazi pamoja

Chiferereji Cha jisatu

Senior Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
101
Reaction score
212
Ndugu kuelekea kuanza mwaka 2025
Unapopanga mafanikio yatakavoendelea mwaka 2025

Naomba tufanye kazi kwa pamoja Mimi nitakufanyia kazi yako kwa uaminifu

1. Kwa anaehtji kufanya biashra ya viwashio vya moto mikoani nitakutafitia, kukufungashia na kukutumia kukufikia popote ulipo kutoka Mafinga-Mufindi-Iringa, maana ndipo bidhaa iyo inapopatina kwa Wingi.

2. Kukutafutia Aina zote za mbao pia kukuunganisha na wakulima wa mbao unafanya maombezi ya kibiashra nao, pamoja na kukupakilishia mzigo wa mbao na kukufikia ulipo.

Nipo Mafinga-Mufindi, mkoa wa Iringa.
 
Nakupa wazo ambalo nahisi kama ukiamua kupambana kujenga jina na uaminifu mwaka 2025 utapiga hela. Ukiwa mkoani. Kaa chini tafuta machimbo ya mastoo na mazao mbalimbali pia uwe na mawasiliano na watu wa malori kama scania, fuso, canter ili mfanyabiashara awe anakadiriwa bei ya mazao jumlisha usafiri. Unakuwa unasupply mazao kwenda kwa wafanyabiashara wa miji mikubwa na miji midogo (Dar, Pwani, Dodoma, Arusha n.k). Uwe na uwezo wa kusupply ndani ya msimu na nje ya msimu
1. Mchele
2. Mahindi
3. Karanga
4. Alizeti
5. Bidhaa za mboga mboga
6. Mkaa
7. Kuku
8. Mbuzi
9. Maharage (hasa ya njano)
10. Viazi

Fanya utafiti na juhudi. Hakikisha unakuwa na connection na watu wa mazao pia unakuwa na connection na watu wa mascania, fuso, canter. Pia ujitangaze mitandaoni ujuane na watu wa kuuza michele, wasaga sembe na dona, watu wa kuzalisha mafuta ya alizeti

Mungu atakusaidia utatoboa. Usikate tamaa wala kuvunjika moyo.
 
Asante kwa wazo mkuu,,. Nitajaribu kufanyia kazi,, kwa viazi mviringo, mahindi na mkaa wakulima nafahsmiana nao,,
 
Hakikisha unakuwa na wakulima wengi na mastoo ya kutosha. Pia ujuane na watu wa malori hasa fuso na canter. Kama kwenye mahindi ukipata mashine za kusaga kama 5 au 10 ambazo unasupply mahindi kwao kwa bei ndogo. Kila baada ya wiki 1 au 2 wanakutumia hela benki wewe unawawekea mahindi kwenye fuso au canter, wewe jipe 1000, au 1500,au 2000 au 5000 kwa gunia, pesa utapiga mno.

Ngoja nikupe Siri ambayo ni true story
Katika harakati za kujitafuta kimaisha. Nishawahi kufanya kazi kwenye mashine ya alizeti na kusaga mahindi. Niliona jinsi tajiri wangu alivyokuwa anahangaika kupata mahindi na alizeti kwa bei ndogo pia watu wa fuso na canter walikuwa wanamsumbua. Pia madalali walikuwa wanaharibu biashara. Tajiri aliamua kufunga ofisi. Na nikakosa kazi. Na mitambo yote Tajiri aliiuza akahamia kwenye biashara nyingine. Kiufupi nilishangaa mno boss anafunga ofisi wakati mahindi yamejaa kwa wakulima wengi wanatesekea soko. Nikajua kumbe madalali na watu wa mafuso ndio wanaharibu biashara.

Ukikaa ukatulia, utapiga hela. Mimi Mwenyewe 2025 na 2026 nataka nitunze hela ili 2026 au 2027 niwe na mashine ama ya mahindi au alizeti.

Ukikomaa kupata machimbo na kujuana na watu wa fuso na canter utatoboa.
 
Hapo nikupata bro, nmekupta

Hapo nmekupata bro nmekupata vilivo
 
Sawa bro, hapo nmekupata kabsa, nitfanyia kazi, Sema kuwapata wateja wa hyo mazao ndo chngamoto pia mean yatakapofikia kutka kw mkulima,,
Inabidi uwe na mbinu mbalimbali za kimatangazo. Mtandaoni humu jf, Instagram, facebook, ufike kwenye mashine za sembe , alizeti, mikoa Kama Dar,Pwani, Dodoma. Hakikisha uwe na namba zao tu weka target simu iwe na namba za watu 1000 au 2000 na zaidi wa aina hiyo. Kuwa na sponsored ads Instagram uwe tagged na page maarufu za michezo, umbea, udaku. Uwe na graphics kali

Ujue kujipiga promo mfano

Je unatafuta supplier wa maharage kwa ajili ya biashara yako?
Je unatafuta supplier wa mchele kwa ajili ya biashara yako?
Je unatafuta supplier wa mahindi kwa ajili ya kiwanda/biashara yako?

Je unatafuta supplier wa alizeti kwa ajili ya kiwanda/biashara yako?

Je unahangaika na fuso/canter la kukufikishia Mahindi,maharage, alizeti, viazi kwa ajili ya kiwanda/biashara yako, shaka ondoa! Kampuni yetu ya ********* ipo kwa ajili yako. Relax tukuhudumie 🤣🤣 hakikisha unakuwa na mbwembwe.
 
🤗🤗🤗🤗, Hapo mwshon hapo umeua
 
Back
Top Bottom