Tufanye unaamini Mungu, huamini Mungu au bado hujafanya uamuzi, unahisi nini hutokea dakika ya kwanza baada ya kufa?

Tufanye unaamini Mungu, huamini Mungu au bado hujafanya uamuzi, unahisi nini hutokea dakika ya kwanza baada ya kufa?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Wakuu hii ni mada ya kutafakari najua ishajadiliwa sana humu ndani ya forum na huko makwenu..sasa tuweke hitimisho japo najua sio rahisi je tuseme moyo umesimama kabisa na umethibitishwa umefariki.Wewe unahisi nini hasa hutokea dakika ya kwanza baada ya hapo?Unadhani ndiyo mwisho wa kila kitu, fahamu zinazimika moja kwa moja na hakuna chochote tena?

Au unahisi bado kuna utambuzi fulani unaoendelea, kama mtu anayeota ndoto au anayejitambua kwa namna nyingine?Au unaamini kuna hatua nyingine inaanza mara tu baada ya kifo?au ni bora tukubali kwamba hakuna anayejua kwa uhakika, tusiandikie mate wakati wino upo, tusubiri siku ikifika kila mmoja atajionea mwenyewe?
 
Kifo ni usingizi mzito.
Hutajua kama umekufa.

Ubongo ndio kila kitu kwenye mwili wetu. Ubongo ukiwa haufanyi kaz. Bas ni dhahir hautatambui chochote.

Tukirud kwa Watu wa Iman, wao watasema kuna roho.
kwamba ukifa roho inabak kuwa hai.
Inaenda kusubiri hukumu, au inaungana na Ndugu wengne.

kwahiyo hapo ndio kuna utata kwasababu hakuna mtu ameona roho.

Ila kwangu naona Roho ni ufaham. Yaan Concious , na ukifa na yenyewe inakufa.
 
ooh so inshort ukithibitishwa umekufa ndo bye bye
 
ooh so inshort ukithibitishwa umekufa ndo bye bye
Ubongo ndio kila kitu. Hata ukiwa umelala na ubongo ukapunguza kufanya kaz yake, utashangaa asubuh imefika, ni kama dk 5 kumbe umelala masaa 8.

Hivyo hivyo ukifa. Hautajua chochote. Utachoka tu na kujisikia vibaya na ubongo utakuelekeza kuwa hebu fumba macho. Na ukifumba tu bas ndio habar imeisha.

Pia unaweza kutambua ukikaribia kufa. Ni kama vile usingiz mzito, ila ubongo utakuambia kabisa kuwa hauwez kuendelea. Na ukilala ndio kwaheri na hakuna chochote baada ya hapo.
 
Ufufuke uende wapi tena mkuu achana na story za binadamu za kujifariji na kujipa umuhimu wa kufufuka alafu mbuzi,kitimoto na punda wakifa hawafufuki...shenziiiiii nini
Duh aisee
 
Back
Top Bottom