ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
ooh so inshort ukithibitishwa umekufa ndo bye byeKifo ni usingizi mzito.
Hutajua kama umekufa.
Ubongo ndio kila kitu kwenye mwili wetu. Ubongo ukiwa haufanyi kaz. Bas ni dhahir hautatambui chochote.
Tukirud kwa Watu wa Iman, wao watasema kuna roho.
kwamba ukifa roho inabak kuwa hai.
Inaenda kusubiri hukumu, au inaungana na Ndugu wengne.
kwahiyo hapo ndio kuna utata kwasababu hakuna mtu ameona roho.
Ila kwangu naona Roho ni ufaham. Yaan Concious , na ukifa na yenyewe inakufa.
Ubongo ndio kila kitu. Hata ukiwa umelala na ubongo ukapunguza kufanya kaz yake, utashangaa asubuh imefika, ni kama dk 5 kumbe umelala masaa 8.ooh so inshort ukithibitishwa umekufa ndo bye bye
Duh aiseeUfufuke uende wapi tena mkuu achana na story za binadamu za kujifariji na kujipa umuhimu wa kufufuka alafu mbuzi,kitimoto na punda wakifa hawafufuki...shenziiiiii nini