Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Yaani yanakera mpira zamani haukua na haya maujinga.. watu tulijua furaha yetu imebaki kwenye soka lakini nako matapeli ya siasa yamevamiaYanga kuna lijinga limoja lilikuwa pale chini, kashika picha ya Samia. Alipotugeuzia tukaiona tulimuonyesha kwa ishara ya toka hapa na lipicha lako. Akakoma kugeuza mpaka mpira ukaisha. Watuache tuenjoy mpira jamani. Kwani shida nini? Mbona nguvu nyingi sana inatumika?