Yaani yanakera mpira zamani haukua na haya maujinga.. watu tulijua furaha yetu imebaki kwenye soka lakini nako matapeli ya siasa yamevamiaYanga kuna lijinga limoja lilikuwa pale chini, kashika picha ya Samia. Alipotugeuzia tukaiona tulimuonyesha kwa ishara ya toka hapa na lipicha lako. Akakoma kugeuza mpaka mpira ukaisha. Watuache tuenjoy mpira jamani. Kwani shida nini? Mbona nguvu nyingi sana inatumika?
Naona coastal hapa anaturushia my wetu.
Kumbe tuko sawa..mimi pia 2007 nilikuwa la 5Hizo timu zimepoteza utamu wake Mimi niliacha kuzifatilia tangu 2007 nikiwa darasa tano .
Wangebaki na siasa zao then mpira ukabaki unajitegemea.
Ukiachana na yote hii yanga ya sasa ni unstoppable
Kumbe tuko sawa..mimi pia 2007 nilikuwa la 5
2007 kama ulipoteza utamu....Hizo timu zimepoteza utamu wake Mimi niliacha kuzifatilia tangu 2007 nikiwa darasa tano .
Wangebaki na siasa zao then mpira ukabaki unajitegemea.
Ukiachana na yote hii yanga ya sasa ni unstoppable
Hofu ya kushindwa wakati wameshapokea mabilion ya watuYanga kuna lijinga limoja lilikuwa pale chini, kashika picha ya Samia. Alipotugeuzia tukaiona tulimuonyesha kwa ishara ya toka hapa na lipicha lako. Akakoma kugeuza mpaka mpira ukaisha. Watuache tuenjoy mpira jamani. Kwani shida nini? Mbona nguvu nyingi sana inatumika?
Kabisa Mkuu ๐๐๐๐Naona coastal hapa anaturushia my wetu.