Tufikie hatua tutumie akili na tuambiane ukweli. Wazungu wanatuua kirahisi tu

We we utakua msabato
 
Haitakaa itokee wazungu wamalize wa Africa, sasa dampo la vifaa vyao feki, mitumba, watauza wapi
 
Umetelekeza ule uzi wako wa visa vya kichawi kwa kisingizio unaumwa ugonjwa wa corona umekuja kuanzisha uzi mwingine huku. Wewe jamaa kweli mwongo...

Post in thread 'Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo' Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo
 
Ingekuwa hivyo hayo ma chanzo yoote tangu zamani si wangesha tumaliza?
 
Ni sawa na kuwa na jirani very potential ambaye ni same age na wewe - sasa badala ya kumtumia ili na wewe unyenyuke wewe unamnunia mwanzo mwisho - kisa tu eti anaishi kwenye jumba la kifahari, gari nzuri Ford Ranger wakati wewe una ka used japan IST na eti kwamba anajidai bure tu na hela za wizi na mikopo benki

Ndiyo sisi sasa, Kama umeachwa nyuma umeachwa tu kuwa mpole - dunia ni kijiji, kujitenga na umaskini wako hautakusaidia kitu ndugu
 
Kuna la kutafakari hapa[emoji116]

Ina maana korona iliyoko Canada, USA na ULAYA Ni tofauti na hii iliyoko uku ulimwengu wa tatu?View attachment 1688865

Sent using Jamii Forums mobile app
kiwanda lazima kiwe na codes za bidhaa zake !! sasa kama hujui faida ya hii kitu siwezi kukusaidia - nenda kwa wenye viwanda vikubwa vinavyosambaza bidhaa zake dunia nzima watakulelezea !!
 
kiwanda lazima kiwe na codes za bidhaa zake !! sasa kama hujui faida ya hii kitu siwezi kukusaidia - nenda kwa wenye viwanda vikubwa vinavyosambaza bidhaa zake dunia nzima watakulelezea !!
Naunga mkono hoja
 
Kwanza Kama unajua ubaguz wa rangi bado upo hasa kwa ss weus ungepunguza mihemuko. Halafu kama unafuatilia siasa za kimataifa, fuatilia vzr what happened in Libya utaelewa kwann ( ukianza kuchomoza kwa kas ndo unakuwa targeted) ila Kama umesinzia hawana shida na wew,
 
Wewe unapenda kuandika ila muvivu wa kusoma.chanjo ya korona ina madhara makubwa, google side effect utaona. Live long JPM
Jibu hojo acha upoyoyo wako. Dawa mlizokwenda kuzichukua Madagascar mbona hamtoi mrejesho??
 
Hapo mkononi una chanjo ya ndui... mbona hawakukumaliza kipindi hicho ambacho hata teknologia kwetu huku ilikua ni majanga? Sasa africa tukimalizwa nani atanunua bidhaa feki na rahisi za mchina??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kukumaliza siyo lazima wakuue kabisa! Zipo njia nyingi ya mtu kumalizwa! Usitolee mfano kipindi cha nyuma ambako watu wengi walikuwa na maadaili yao! Sasa hivi ni wakora tupu ndio wanaendesha mashirika ya makubwa kama WHO nk! ! Unategemea nini hapo! Akili yako imeganda kwenye biashara ya vitu feki tu! Hapo ndio imeishia, pole!
 
Mkuu chai yako uliyotupa kuhusu utajiri ndo umeitelekeza au?
 
Kuna la kutafakari hapa[emoji116]

Ina maana korona iliyoko Canada, USA na ULAYA Ni tofauti na hii iliyoko uku ulimwengu wa tatu?View attachment 1688865

Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo lingekuwa kukuua hata hilo neno wasingeliweka. Kuna dawa zinakuwa subsidized kutumika mahali flani, yani ni sawa na mbolea inayobidi wapewe bure wakulima wadogo hainabudi kuchukuliwa na matajiri.
 
Kipofu akimwongoza kipofu mwenzie mwisho wake watatumbukia shimoni wote wawili mwongozaji na anayeongozwa hayo yapo kwa saana awamu ya tano kwa sababu sifa zimetufanya tuwe vipofu.
 
Hivi lazima uelewe nikuulize nani aliyezaliwa 1970hadi 1980 hadi 1990 mwanamke gani kazaa wototo 7 hadi 10
Cha ajabu utakuta wawili ,watatu, au wanne kazidi sana watano na ugumba wa wanawake wengi umeanzia baada ya madawa mengi ya kizungu kuingia
 
Huyu mwenyewe alinyweshwa sumu akakimbinzwa Ujerumani kwa wazungu. Shukrani ya punda ni mateke. Bila wajerumani ikute tungekuwa tushamshau. Yaani huyu jamaa ni fyatu. Kuna neurons hazifanyi kazi huko kwenye ubongo wake. Tuna almost billion 87 neurons kwenye ubongo. Ukute yeye anazo 20 tu.
 
Kuna la kutafakari hapa[emoji116]

Ina maana korona iliyoko Canada, USA na ULAYA Ni tofauti na hii iliyoko uku ulimwengu wa tatu?View attachment 1688865

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye marketing ya Dawa Tuna vitu vyaitwa Brand names na Generic names au Proprietary names na International Non Proprietary names so basically Remdesivir ni Generic USA na Canada zipo tu ila Brand hiyo ya Cipla haina kibali kuuzwa nchi 2 hizo na bara Ulaya sababu zipo nyingi za kutoiuza sana sana ni bei na sio eti sio salama ni somo pana kwa wasiojua! Binafsi nina wiki 1 since nimepata chanjo na kwangu haikuleta shida yoyote siku 21 zijazo naenda kuchoma dose ya pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…