JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Wazungu wakitaka kuiangamiza Afrika,hawaitaji kutumia chanjo yoyote au kuja kimya kimya,
Walifanya hivyo 1884,mkutano wa berlin,wakaigawa Afrika,ukoloni,utumwa,kwa miaka zaidi ya mia!
Wazungu walisambaratisha Dola ya kisoviet,
Kwame Nkurumah,Lumumba,Samora,Savimbi,Ghadafi wote Hawa walisambaratishwa na wazungu,wakati Iraq na Libya zinatwangwa na mabomu Afrika nzima ilifyata mkia,hakuna aliyesema kitu,Kama Wazungu(Usa,UK,Canada,Austaria,New Zealand,Japan,)wanaitetemesha Urusi,Iran,Korea,mpaka zinashika adabu,sembuse vi nchi 52 vya Afrika,
Ukikusanya uchumi wa nchi zote hizi za Afrika,hazifikii uchumi wa India,
Jimbo moja la USA lina uchumi mkubwa kuriko nchi nyingi za Afrika,
Sie hatuzalishi kitu ambacho wazungu hawawezi kupata kwingine,sie sio wanuhimu sana kwao,
Hizi porojo za Jiwe,ni upuuzi mtupu,Magari,Ndege,vyote vinatoka kwao,sie kaI yetu ni kuzaa tu