Tufikirie science kidogo The theory of relativity says that the faster the speed, the slower time passes by Albert Einstein

Tufikirie science kidogo The theory of relativity says that the faster the speed, the slower time passes by Albert Einstein

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Ina maana kuwa nikienda mwezini na chombo chenye speed inayokaribia na speed of light (you can not attain the speed of light anyway), basi sitazeeka maana time itarudi nyuma! Ageing process will slow down.
sasa kwanini tusiwe na mashine yenye speed kubwa kiasi kwamba time will slow down na tusizeeke na kufa ila kwa magonjwa? 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄 😳😳😳😳😳🙄🙄🙄🙄🙄
 
Hata ukipata hicho chombo cha kwenda speed of light bado hutofika the moment kinafanya take off au kuwa launched kama kina carrier ndio umekufa hivyo.

Mwili wa binadamu hauwezi himili G forces nyingi, hata supersonic aircrafts marubani wake wanavaa nguo maalum na oxygen mask wakati ndege inaenda kilomita 2700 kwa saa, sababu kuna turns nyingi.

Wanaokaa kwenye spaceship mara nyingi hawapigi kona hivyo G forces hazisumbui ila wanajishindilia mavazi yenye kilo kadhaa.

Rubani mwenye uzoefu na mafunzo makali na ana vifaa vyote anaweza fika 10 Gs dakika chache. Sasa hiyo speed of light sijui ni Gs ngapi ila najua ni zaidi ya 1000, hakuna teknolojia ya kukufanya ufike hapo. Unakata roho sekunde ya kwanza ya ride.
 
Ina maana kuwa nikienda mwezini na chombo chenye speed inayokaribia na speed of light (you can not attain the speed of light anyway), basi sitazeeka maana time itarudi nyuma! Ageing process will slow down.
sasa kwanini tusiwe na mashine yenye speed kubwa kiasi kwamba time will slow down na tusizeeke na kufa ila kwa magonjwa? 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄 😳😳😳😳😳🙄🙄🙄🙄🙄

Kuzeeka lazima uzeeke tu. Tofauti yake wewe ukiwa ndani ya hicho chombo chenye spidi ya light. Utachelewa kuzeeka kulinganisha na age mates wako ambao wapo nje ya hicho chombo
 
Kuzeeka lazima uzeeke tu. Tofauti yake wewe ukiwa ndani ya hicho chombo chenye spidi ya light. Utachelewa kuzeeka kulinganisha na age mates wako ambao wapo nje ya hicho chombo
Right! I Lakini si nitakuwa na umri pungufu and that is what i want to achieve! 😀 😀 😀 😀
 
Tatizo la waafika ndilo hilo na haliishii hapa it treverses all walks of life!
Km unaandika Kiswahili andika Kiswahili km unaandika Kingereza andika Kingereza usichanganye lugha
 
Km unaandika Kiswahili andika Kiswahili km unaandika Kingereza andika Kingereza usichanganye lugha
asante sana, napunguza watu wa kunimalizia Mbs. Nakublock nisisome utumbo wako
 
Hamna kiumbe chochote kitakachoweza kusurvive kweny speed ya sawa na mwanga...labda kama ni kukuwahisha ahera hapo sawa

Miaka 50 ijayo ama 100 ijayo inaweza ikawezekana.

Maana ukiwafufua watu waliokufa miaka ya zamani ukawaambia leo watu wanapaa na ndege hewani wanatoka dar mpaka new york wakiwa mawinguni.. watakugomea
 
Back
Top Bottom